Nyumba ya njano
Member
- Oct 20, 2017
- 72
- 41
Man united wametolewa marinda
Mawazo ya ajabu kweli!Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?
Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
Simba haihusiki na hizo njama zenu .
Hunter kumbe huwa unatuombea njaaMwanitesa Yunaitedi leo imeshikishwa adabu...afadhali mtaani kupo kimya kwa maana tusingelala
siku 1 mojaHunter kumbe huwa unatuombea njaa
Poa poa huntersiku 1 moja
freshPoa poa hunter
Ni kwasababu MUFC ndio timu pekee kubwa na yenye mashabiki duniani..Mawazo ya ajabu kweli!
Hizo dakika 100,hizo timu pinzani, haziwahusu?