Kwanini Mara nyingi watu wanang'ang'ania kupenda wasikopendwa

kidadike

Member
Feb 19, 2013
33
28
Habari ya uzima wanajamvi.
Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada husika.
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kila mtu ana bahati ya kupendwa na mtu fulani lakini mara nyingi binadamu huwa hatuwapendi wale wanaotupenda kwa dhati na mwisho wa siku tunaangukia kupenda tusiko pendwa.
Hapo ndio balaa la kitu kinaitwa maumivu linaanza kutusumbua.
Hi ni kwanini hii hali inakuwa hivi na tufanye nini ili tuweze kuepuka kumpenda mtu asiekupenda kwa maana mtu kama hajakupenda kutoka moyoni ni vigumu kubadilisha mawazo yake zaidi atakudangany'a au kukuchuna tu
 
Tatizo moyo! Moyo ukipenda ni nguvu kuuzuia hata kama una sababu ya kufanya hivyo
 
Nara nyingi watu hupenda watu wanaopendwa sana na wasio katika ligi yao
Mtu unakuta saiz yake ni Chausiku lkn analazimisha apendwe na Kylin
Na Chausiku hamtaki Jumanne anamtaka Enok
 
Da kuna demu nimekuwa namuitatain for years now nimemkatia tamaa na uzuri keshajua yaani kwake kugumu ila nikitest kwengine ni tiki tu
achana naye anabwana mwingine anamkaza vozuri...atakuja kukuona wa maana badae when things fall apart upande wake na wewe ulivyobwege utampokea kwa mikono miwili.....utafeli mkuuu....SIKUIZ SIO ZAMA ZA KUINTERTAIN A LADY FOR YEARS.....UNATAKA KUGUNDUA NINI ?....alot of gorgeous ladies out there...go have fun....ENJOY.
 
Duh tatizo unakuta demu kutwa mzima anataka mchat alafu ukiweka ndoana anakataa then yeye anapenda muwe mnachat tu mpaka basi akili zao sitaki nataka
 
Habari ya uzima wanajamvi.
Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada husika.
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kila mtu ana bahati ya kupendwa na mtu fulani lakini mara nyingi binadamu huwa hatuwapendi wale wanaotupenda kwa dhati na mwisho wa siku tunaangukia kupenda tusiko pendwa.
Hapo ndio balaa la kitu kinaitwa maumivu linaanza kutusumbua.
Hi ni kwanini hii hali inakuwa hivi na tufanye nini ili tuweze kuepuka kumpenda mtu asiekupenda kwa maana mtu kama hajakupenda kutoka moyoni ni vigumu kubadilisha mawazo yake zaidi atakudangany'a au kukuchuna tu
Ushauri wangu ni ule ule, tho I won't be responsible for any damage :::

Wanaume wenzangu(and wanawake for this case), don't ever put all your eggs in one basket!!!

Conclusion:::
Huo msemo hapo juu sio mzuri kuufata hasa kwa wanaume wasio kuwa na speed limiter. Kwanini? My example; binafsi natongoza 6, 7 women kwa wakati mmoja. Hapa unaavoid kuumizwa. Kwangu ilishakuwa kama game, siumii kabisa nikitemwa, tena nikitoka kutemwa namtext mwingine tumeet. Unakuta sasa nadate na 2/7 girls... Its a win/win. Disadvantage moja, utakuwa kicheche .

-callmeGhost
 
toka alipoingia first year cousin mwaka 2012 nami mwaka huo nikiwa mwaka wa pili, ,mpk leo ni miaka 2-3 toka nimemaliza chuo lakini bado mtoto jenny sijamkatia tamaa...though now cwasiliani nae tena...mapenzi haya we acha tu.
 
Raha ya mapenzi upende usipoendwa...mkipendana wte nani atamringia mwenzke ss...
 
toka alipoingia first year cousin mwaka 2012 nami mwaka huo nikiwa mwaka wa pili, ,mpk leo ni miaka 2-3 toka nimemaliza chuo lakini bado mtoto jenny sijamkatia tamaa...though now cwasiliani nae tena...mapenzi haya we acha tu.

ndo ukubwa uo mzee baba ...we kazanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom