Kwanini mara nyingi undugu wa baba mmoja kwa mama mbalimbali huwa una nguvu zaidi kuliko undugu wa mama mmoja kwa baba mbalimbali?

Haileti picha zuri mbele za watu kujitambilisha mpo mama mmoja baba mbali mbali. Picha itayovutwa vichwani mwa watu ni mama yenu alikuwa m.a.l.aya. Basi kwa mazingira hayo watoto wanaweza kutokuwa na furaha na kukwepana.

Lakini hii haihusu wale wamama ambao amezaa labda na two men. Yule wa ajali za ujanani, na wa maamuzi hiari au ndoa.

Si unajua men sio malaya ila ke. Jinsi ilivyojengeka.
 
Ndugu ulie share nae baba, mama tofauti mna kua mna bond sababu mna share damu moja, ila ndugu milio share mama zen baba tofaut bond inakua sio imara maana mme share tumbo tu na ziwa lkn sio damu....
 
Maswali kama haya huulizwa na Waafrika wa Kusini mwa Sahara tu, kwa maana hawana dini ni wapagani, Muzungu, Mwarabu Wahindi au hata Wachina hawawezi kuuliza swali kama hilo kwa maana kwao mtoto kuzaliwa nje ya ndoa ni dhambi na aibu, ila kwa Mtanzania ni jambo la kawaida, Tanzania karibia kila familia ina watoto wa nje, lkn Makanisa yamejaa kila Jumapili na mikesha ya maombi, ...
 
Habari zenu watu wa humu.

Leo nikasema niulize swali, huenda tukajua na kupata hekima ya jambo hili.

Swali liko wazi na jambo hili huwa tunaliona sana. Kwanini hali huwa iko hivi?

Karibuni nyote tujadili jambo hili.

Ahsanteni.
Ngoja tutumie watu maarufu kujiridhisha na kauli yako!!

Yaani unachosema ni kama akina Tiffa wa Diamond watakuwa karibu zaidi na mtoto wa Hamisa au Tanasha kuliko watakavyokuwa na wale watoto wa Ivan ambao wame-share nao mama?!

Do you really believe that?!

Tumia mifano mingine kama hiyo unayoijua wewe bila kujali kama ni watu maarufu au hapana!!
 
Umeandika kinyume! Fanya utafiti wako vzuri
Tena undugu wa kwa mama, wala hautafuti USHAHIDI. Lakini wa huko kwa baba, wakati mwingine, ndiyo hayo mambo ya kwenda kupima, ili ithibitike.
Na ndugu wengi wa huko kwa baba, ni wa KUBAMBIKIZA.
 
Habari zenu watu wa humu.

Leo nikasema niulize swali, huenda tukajua na kupata hekima ya jambo hili.

Swali liko wazi na jambo hili huwa tunaliona sana. Kwanini hali huwa iko hivi?

Karibuni nyote tujadili jambo hili.

Ahsanteni.
Udugu wa baba mmoja mama mbali mbali ni udugu wa kujipendekeza sn,,

Udugu wa mama mmoja baba mbali mbali ndy really..

Mama zetu wa kambo ndy chanzo cha watoto wa baba mmoja kutopendana,,
Sababu ya maneno ya fitna na sumu dhidi ya watoto wa mwanamke mwenzie.
 
Ngoja tutumie watu maarufu kujiridhisha na kauli yako!!

Yaani unachosema ni kama akina Tiffa wa Diamond watakuwa karibu zaidi na mtoto wa Hamisa au Tanasha kuliko watakavyokuwa na wale watoto wa Ivan ambao wame-share nao mama?!

Do you really believe that?!

Tumia mifano mingine kama hiyo unayoijua wewe bila kujali kama ni watu maarufu au hapana!!
1st born nimekumiss
 
Last born hata mimi nimeku-miss hadi najisikia kuugua!!!

Uko poa lakini?! Vipi x-mass kutakuwa na biriani au angalau pilau la kuku?! Yaani nimeli-miss birian hadi tumbo nahisi linakata kata!!
Hahaha
Wewe hukunimiss,ungenimiss ungenitafuta.

Xmass fanya mpango tupike
 
Back
Top Bottom