mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,160
- 22,615
Habari za mda huu wana Jf,
Naomba tujadiliane kuhusu hili jambo kama kichwa cha uzi kinavyosema
Kwa mfano unaweza ukawa umetoka kwenye mishe zako unarudi home ukaona Butcher kubwa imepigwa branding ya ukweli ya mapicha ya nyama iliyonona na masato bila kusahau kuku, ukajisemea hawa watakuwa na nyama nzuri samaki fresh, ngoja niingie hapa nichukue hata kilo kadhaa
Unaingia ndani unakuta nyama ni mbaya alafu samaki hamna wala kuku. Muonekano wa nje umekuponza
Vivyo hivyo kwenye salon unakuta salon imepambwa na mataa kibao yanazunguka kwa nje branding ya nguvu unasema hawa watakuwa ni vinyozi wazuri ngoja ninyoe hapa
Unaingia unaelezea unavyotaka kunyoa, unashangaa mtu amekunyoa kama Madenge hadi unachukia unaamua tu kutoa nywele zote zianze upya. Muonekano wa nje umekuponza
Nyingine ni hii unakutana na mdada mkali yaani sista duu haswa unajisemea moyoni huyu atakuwa mtamu balaa, unaomba namba baadae unaamua kujilipua unaingiza vocal
Shetani sio Athumani, unakubaliwa na unaahidiwa mbunye. Siku ya kumtafuna sasa ile unamvua pichu unapiga chafya hapa mbagala. Muonekano wa nje tena umekuponza
Lakini pia unakuta mdada yupo kawaida amevaa sketi yake ya mtunguo yaani yupoyupo tu ila ni mtamu balaa
Hapa ndio tunaukumbuka ule usemi wa 'Don't Judge a Book by its Cover'
Karibuni tujadili