Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu unayakuta katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind all this?

Jaribu kutazama screenshots chache hapo chini.

View attachment 1457443View attachment 1457445View attachment 1457446

Kama haya maneno si mazuri kutamkwa mbele za watu, kwanini yanatambuliwa kuwa ni maneno sanifu ya Kiswahili? Na;

Kama haya maneno ni sanifu katika lugha ya Kiswahili, kwanini ukiyatamka mbele ya kadamnasi ya watu utaambiwa umetukana/huna adabu au watu kupigwa na butwaa?

MATUSI yanafanya nini katika kamusi ya Kiswahili fasaha?

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Magufuli miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa.
 
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Magufuli.
 
Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Habari zenu wanna jf, namshukuru mungu mm mzima....
Jibu la swali lako ni kuwa, kamusi NI kitabu kinachobeba maneno na kuyatolea maana(kidahizo/vidahizo) lengo kubwa la kuunda kamusi ni kuhifadhi maneno, tukumbuke kuwa kuhifadhi Jambo katika maandishi huweza kudumu kwa mda mrefu kuliko kulihifadhi kichwani,mfano maneno Kama ****,mboo mkundu ambayo yamo kwenye kamusi hutumika kwa maneno mbadala (tafsida) mfano: mboo----- uume, ****---- uke ni hayo tu hebu tusubiri wajuzi zaid
 
Habari zenu wanna jf, namshukuru mungu mm mzima....
Jibu la swali lako ni kuwa, kamusi NI kitabu kinachobeba maneno na kuyatolea maana(kidahizo/vidahizo) lengo kubwa la kuunda kamusi ni kuhifadhi maneno, tukumbuke kuwa kuhifadhi Jambo katika maandishi huweza kudumu kwa mda mrefu kuliko kulihifadhi kichwani,
Kuna mantiki gani ya kuhifadhi maneno ambayo hauwezi kuyatamka mbele za watu? Kwanini neno kama kum* lisiandikwe uuke katika kamusi? Au kwanini neno mbo* lisiandike kama uume kuliko kuhifadhi maneno yasiyotamkika?...
 
Habari zenu wanna jf, namshukuru mungu mm mzima....
Jibu la swali lako ni kuwa, kamusi NI kitabu kinachobeba maneno na kuyatolea maana(kidahizo/vidahizo) lengo kubwa la kuunda kamusi ni kuhifadhi maneno, tukumbuke kuwa kuhifadhi Jambo katika maandishi huweza kudumu kwa mda mrefu kuliko kulihifadhi kichwani,mfano maneno Kama *,mboo mkundu ambayo yamo kwenye kamusi hutumika kwa maneno mbadala (tafsida) mfano: mboo----- uume, *---- uke ni hayo tu hebu tusubiri wajuzi zaid
Wrong
 
Mimi nimeuliza swali badala ya wewe kunijibu, wewe pia unaniuliza swali? Watanzania tunashida kubwa sana kwa kweli
Kuna aina tatu za kujibu swali
1.Swali kwa Jibu
2. Swali kwa amelezo
3. Swali kwa swali.

Yeye katumia aina ya tatu ya kujibu swali. YAANI SWALI KWA SWALI.
 
Kwanini hayo maneno mbadala yasirasimishwe na kuchukua nafasi ya yale yenye ukakasi?
Maneno hayo hayawezi kuondolewa katika kamusi kwa sababu zifuatazo,
1. ndio maneno msingi au mama wa maneno mapya yanayozaliwa leo hii
2. maneno hayo msingi hatuyatumii kwa kuwa tumekuta jamii tunayoishi nayo haitumii maneno hayo ingawa kwenye kamusi yapo. Hii ina maana kuwa tumerithishwa ulemavu na vizazi vilivyopita.
mfano, neno mboo tunaita uume nk
3.
uibukaji wa waandishi mashuhuri na wabobezi katika fasihi umepelekea maneno hayo yaliyo na ukakasi kuwekwa kando na kutumia maneno mbadala ili kulinda hadhi ya tabaka la juu dhidi ya tabaka la chini
 
Uongo huu mzee baba
 
Back
Top Bottom