Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Mandela kaoa mara tatu uvumilivu mdogo meanwhile Winnie angemsamehe
Evelyn mke wa kwanza hakuweza kuendanz na shuhuli za uharakati, Winnie the beauty queen alishindwa. Graca was just perfect kwa mzee.
 
Siku za mwishoni za Mandela kufunguliwa Winnie alikuwa anaruhusiwa kuingia gerezani kwa faragha na mzee,ina maana mzee alikuwa anamtizama tu!
 
Kumbe aliachaga mkewe Evelyn. Karma

Siku zote wanatakiwa kujua mke wa kwanza ndo mwenye mapenz ya dhati na ndo atakae kuvumilia katika kila hatua ya maisha yako na Mungu nae anakubariki, Vijana kuhangaika hangaika ndo mwanzo wa kukumbana na mabalaa ya dunian..... bahati mbaya kaka zetu hawataki kulitambua hilo wakipata kidogo wanakimbilia warembo sasa unafikiri nitakupenda vipi wakati nilishakukuta na familia yako
 
Nmeisoma hii kwakwel uyo maza amezidi...alikua anafanya makusudi tu..mzee ndio maana hawez msamehe
 
Mpofu noma sana! Inaelekea "shughuli yake ya faraghani" mama alikuwa anaikubali sana.
Mkuu mbwembwe zote za mwanamke ukiweza kumnyoosha vyema kitandani huwa hana ujanja. Maza alinogewa mpaka akajisahau baada ya mzee kuwa huru.
 
Miaka 27 nyingi wewe kkkuuummmaaa itaoza na bui bui watajenga nyumba humo kama haiguswi...
 
Back
Top Bottom