Kwanini Mandela hakujenga hekalu au majumba makubwa kijijni kwao?

oldisgold

Senior Member
Oct 2, 2013
198
64
Pesa zote hizi alizopata kazipeleka wapi?

kwa nini kijijini kwao kuna vujumba vidogo vidogo na dhiki left and right?

kashindwa vipi kuiga mfano wa viongozi wa wenzake akajenga MJUMBA mkubwa na wamaaana?

hivi kweli mtu mwenye hadhi ya mandela kuwa na kijumba kidogo kama kule maana yake nini?
 
Tatizo la watanzania wanaamini nyumba ama majumba yanaweza kumpa mtu furaha, maeneo mengi duniani nyumba zinamilikiwa na taasisi, makampuni ama serikali, hata tanzania nyumba nyingi zinamilikiwa na watu kwa sababu ya wizi, mtu mshahara laki mbili anamiliki gari na jumba wapi kapata hizo mali
 
Umemaliza mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom