Kwanini mama tu ?

Msogora

Member
Sep 19, 2015
46
8
Habari wadau
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza swala hilo kwenye heading bila jawabu naishia kujaribu kulinganisha na watu wengine mfano Mchoraji wa picha anachora picha pengine kwa siku 3 tu kisha anaandika jina lake vile vile companies zinaandika majina yao kwenye bidhaa zao pengine zimechukua mwezi tu kutengenezwa.
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba?
 
Shule zimefungwa kazi IPO
 
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba yaani mmMsogora Daniel isiwe Msogora Jackline
Ni mazoea na utamaduni uliojengeka katika jamii yetu, Haikuzuii wewe ukiwa na mwanao usimwite danny beatrice.

Nchi za watu wengine mbona hivyo vitu vya kawaida tu.
 
pia kwanin haujiulizi mama ndio anapendwa zaidi kuliko baba au watu weng kila jambo linapotokea wa kwanza kumtaja au kumkumbuka ni mama? then relate na vitu vingne.so i think kila kitu kina reason au nafasi yake ama mila au utaratibu.
 
Kweli rabda ni mila
 
Mtqngazaji fkani wa azam anaitwq Jeff Leah, so hata wewe unaweza kujiita hivyo haina shida
 
Habari wadau
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza swala hilo kwenye heading bila jawabu naishia kujaribu kulinganisha na watu wengine mfano Mchoraji wa picha anachora picha pengine kwa siku 3 tu kisha anaandika jina lake vile vile companies zinaandika majina yao kwenye bidhaa zao pengine zimechukua mwezi tu kutengenezwa.
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba?
Inategemea.. makabila mengine ni matrinia... mtoto ni wa mjomba..
 
Back
Top Bottom