Kwanini Mama Samia Suluhu Hassan alikubali kuzindua hili shina la CCM?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Watanzania emb tuwe serious kidogo basi. Yani kiongozi anatoka na msafara wa magari mengi na watu wanalipwa posho kisha anaenda kuzindua kitu ambacho hakieleweki?

Makamu wa Rais kweli unatoka unaenda unaangalia picha ilivyochorwa, maandishi yameandikwa kwa kiswahili kibovu kabisa na mbaya zaidi hata jina lako wewe mzinduaji limekosewa kabisa bado unakata utepe!

Kweli siasa zinatupofusha akili na macho!
48b78dcf539d4d521721b52f3656e01e.jpg
 
Mkuu mbona unafuatilia vitu vidogvidogo na vya kijinga sana?

Wewe hilo Shina linakuathiri vipi katika maisha yako? Au kama nchi tunapata hasara gani kutokana na hilo Shina?

Nauliza tena, hivi hizi nyuzi zenu Mngekuwa mnaanzisha kudai tume huru au hata katiba mpya si Mngekuwa mbali sana.?
 
Watanzania emb tuwe serious kidogo basi. Yani kiongozi anatoka na msafara wa magari mengi na watu wanalipwa posho kisha anaenda kuzindua kitu ambacho hakieleweki?

Makamu wa Rais kweli unatoka unaenda unaangalia picha ilivyochorwa, maandishi yameandikwa kwa kiswahili kibovu kabisa na mbaya zaidi hata jina lako wewe mzinduaji limekosewa kabisa bado unakata utepe!

Kweli siasa zinatupofusha akili na macho!View attachment 1211165

Hizo picha lazima atakua fundi maiko tu
 
Mkuu naona hakuwa na option maana aliagizwa na wakubwa zake
Watanzania emb tuwe serious kidogo basi. Yani kiongozi anatoka na msafara wa magari mengi na watu wanalipwa posho kisha anaenda kuzindua kitu ambacho hakieleweki?

Makamu wa Rais kweli unatoka unaenda unaangalia picha ilivyochorwa, maandishi yameandikwa kwa kiswahili kibovu kabisa na mbaya zaidi hata jina lako wewe mzinduaji limekosewa kabisa bado unakata utepe!

Kweli siasa zinatupofusha akili na macho!View attachment 1211165
 
Naona imekuchoma
Mkuu mbona unafuatilia vitu vidogvidogo na vya kijinga sana?

Wewe hilo Shina linakuathiri vipi katika maisha yako? Au kama nchi tunapata hasara gani kutokana na hilo Shina?

Nauliza tena, hivi hizi nyuzi zenu Mngekuwa mnaanzisha kudai tume huru au hata katiba mpya si Mngekuwa mbali sana.?
 
Mkuu mbona unafuatilia vitu vidogvidogo na vya kijinga sana?

Wewe hilo Shina linakuathiri vipi katika maisha yako? Au kama nchi tunapata hasara gani kutokana na hilo Shina?

Nauliza tena, hivi hizi nyuzi zenu Mngekuwa mnaanzisha kudai tume huru au hata katiba mpya si Mngekuwa mbali sana.?
Linaathiri wananchi wote, kama Mtanzania unaanzaje kuchoma mafuta na kuwa na misafara plus kuleta foleni kwenda kuzindua utumbo kama ule. Kuna V8 kadhaa zilitembea, usalama, polisi na watu kibao walifanya kazi. Siku nyingine rais akienda kuzindua choo cha chekechea mtashangilia sio?
 
Back
Top Bottom