Kwanini mama salma tu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini mama salma tu......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Sep 15, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 427
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwanini lawama zote apewe mama salma....kuna watu ndani ya ccm wanamtumia huyu mama unafikiri maamuzi anayo yeye?au ratiba anapanga yeye?huyu mama yeye anatumika kwa maslai ya chama lakini watanzania wamegundua hilo....kama ulimsikiliza makamba alisema garama zote zinatoka ccm wakati si kweli yule mama anatumia magari ya serikali,kwani ccm si wanayomagari yao?yale magari 200 ambayo hayakulipiwa kodi yako wapi......kuitoa ccm madarakani tunaitaji pesa,nguvu na nia ya uhakika....elimu kwa watanzania wengi pia inahitajika.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi hata zile Helikopta ni mali ya CCM?
   
 3. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  huyu mama hana hadhi ndio maana ukisika mtu anaitwa mtoto wa mama salma chuoni huyo ujue...................................
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  yeye na mumewe wote ni wapuuzi tu

  huyo mama hafai na wala hajui kutunza familia yake
  hivi anadhani jk anapomaliza kuhutubia na mizunguko yote ya juani nani anamsaidia usafi wa nguo za ndani??!!!!
   
 5. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wako wengi wa kumsaidia kufanya kazi hiyo, kwani si mnamjua huyo ze commedy anavyopenda totz jamani
  anaacha kufanya mambo ya msingi na kutafuta totoz za kula raha
  huyo ndo Kikwete ze Commedy
   
 6. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  akiwa mikoani huwa anatumia gari ya RC, inamaana wakuu wote wa mikoa wanawajibika kwa CCM? kila RC huwa anamsomea mama Salma taarifa za mhimu pamoja na kamati ya ulinzi mkoani pake, Inaamanisha kuwa yuko ki-serikali zaidi? Kwenye msafara wake mikoani unajumuisha ´wakuu wa wilaya zote za mkoa, maafisa wa polis, je huwa wanalipwa na CCM?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Edson ndugu yangu kuna njia nyingi tu za kutoa maoni na kuonesha hasira zako lakini pia kumbuka wewe ni binadamu. Walikuwepo mashuhuri wa kutuka walipo leo mungu ndio anawajua.
   
 8. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  ...jukumu la kwanza la mke wa rahisi ndio uliloongelea na moja wapo kwenye maudhui..........ndio maana marais wote waliotangulia na hata sasa tunaona serikali inamlipia mke wa makamu wa rais na waziri mkuu ...ili waongozane na waume zao kwenye ziara zote.....kama moja ya majukumu yao......

  ......sasa sipati picha ....inakuwaje....though inajulikana wazi kuwa serikalini kuna vyeo ukifika hasa .....rais ,makamu ,waziri mkuuu ,mkuu wa majeshi...hawa wote wana wasaidizi wao wa kuwashauri nguo za kuvaa...na ndio wenye jukumu la kuhakikisha usafi...though ukiacha mavazi rasmi[ceremonial].....ushauri wa mke hufuatwa....lakini ni wazi muheshimiwa huenda dressing room akiwa tayari ametokea chumbani kwake na huwa ameshavalia hilo vazi la ndani na kujitanda house coat....
   
 9. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  ..wazee zile helicopter ni kwa hisani kubwa ya ROSTAM AZIZ and company .......

  nashanga sana kwanini wakala wa ndege za serikali aanakosa helicopters za kumkodisha seating president......maaana hata kama ni mgombea haiondoi ukweli kuwa he is the president na he can not just be flown by just another pilot we dont know ...like DR SLAA.....i can understand slaa akizungushwa na captain wa nje ...lakini kwa rais ingekuwa vema akakodi helicopter inayoendeshwa na mtanzania ....kwa usalama wake na kwa taarifa ambazo zinaweza ku leak kwa pilot tusiyemjua vema........

  ni muhimu sasa wakala wa ndege za serikali aanzishe huduma ya helicopter za kukodi...
   
Loading...