Kwanini Malaria inanisumbua hivi? Msaada wa ushauri

Secret person

JF-Expert Member
Sep 23, 2019
242
358
Habari wakuu,

Juzi nilipima UTI na malaria na kipimo cha Malaria kilionyesha positive(Malaria 2) na UTI nilkuwa sina.

Nipo kwenye dose ya ALU, amoxiccilin Tabs, paracetamol tabs,


Changamoto ni kuwa nipo katika dose lakini bado kichwa kinauma balaa..nina hisi kutapika nina kohoa sana.


Naombeni ushauri wenu wakuu maana hali si hali.
 
Tafuta dawa ya Nimricaf, na Udanol. Baada ya wiki moja mwenyewe utaona mabadiliko.
 
kovidi mdudu mbaya sana! fanya mpango wa stone tangawizi mkuu sema iwe yamoto
 
Mbona Hamna dalili ya Covid mkuu
Sawa,lakini malimao na tangawizi ni tiba lishe hiyo,,hata ukila haina madhara,sana sana itaboost immunity yako,,kula tu maralua inapokataa kupona,mara nyingi itakuwa dawa unayotumia imeshindwa kukusaidia na ama kinga yako iko chini sana..
 
Back
Top Bottom