Kwanini Makonda anawadhalilisha sana maaskofu kama Malasusa, Kakobe n.k? Sidhani kama ana ubavu wa kumpigia Ruwaichi, Pengo au Nzigilwa!

U

Umwilisho

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
44
Likes
112
Points
40
U

Umwilisho

Member
Joined Jan 4, 2019
44 112 40
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
 
E

El fadiga

Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
38
Likes
39
Points
25
E

El fadiga

Member
Joined Jan 31, 2018
38 39 25
Wale ndo maaskofu hawa wengine ni njaa tu. Kwanza uaskofu si waliamua kujiita tu wenyewe kama ambavyo hata mimi naweza kujiita askofu but in reality mi mchumia tumbo tu. Kuwa askofu wa katoliki kuna mchakato mrefu mno siyo hawa wa vodafasta.
Wale wanaolawiti watoto ndo maaskofu?, wale wanazaa nje licha ya kukatazwa ndo maaskofu?, wale wanaofundisha upagani ndo maaskofu???.

Labda neno askofu limeshapoteza maana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E

El fadiga

Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
38
Likes
39
Points
25
E

El fadiga

Member
Joined Jan 31, 2018
38 39 25
Nani kakwambia wanafundisha ambayo hayako kwenye biblia! Au uwezo wako wa kuwaelewa ni mdogo mno tu! Huwa unaenda kapa hivyo unawatafuta akina kakobe ambao mnafanana uwezo ili umuelewe kirahisi mana anafundisha vya juujuu vile vya kuahidi utajiri bila kufanya kazi
Ukatoliki ni anti-Bible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Umwilisho

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
44
Likes
112
Points
40
U

Umwilisho

Member
Joined Jan 4, 2019
44 112 40
Wale wanaolawiti watoto ndo maaskofu?, wale wanazaa nje licha ya kukatazwa ndo maaskofu?, wale wanaofundisha upagani ndo maaskofu???.

Labda neno askofu limeshapoteza maana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani akili yako ndogo huwa huelewi kinachofundishwa rc ndo mana ukahama. Ukatoliki hauhubiri kupata utajiri au kununu magari ya miujiza bila kufanya kazi.
 
E

El fadiga

Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
38
Likes
39
Points
25
E

El fadiga

Member
Joined Jan 31, 2018
38 39 25
Nadhani akili yako ndogo huwa huelewi kinachofundishwa rc ndo mana ukahama. Ukatoliki hauhubiri kupata utajiri au kununu magari ya miujiza bila kufanya kazi.
Nimekuuliza, "maaskofu sahihi mbele za Mungu ni wale wanaolawiti watoto Vatican???". Unapaswa kujibu tu simple bila kupindisha majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,411
Likes
2,643
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,411 2,643 280
Ukatoliki pia si ukristo, ni upagani uliojichanganya na ukristo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama niny'i mngalikuwa hampo duniani tungeishi kwa raha sana. Mada haizungumzii Ulichokiandika, ndugu joseph lebai kaeleza vyema kabisa wala maoni yake hayakukinzana na mada.
 
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,352
Likes
1,191
Points
280
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,352 1,191 280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
8,833
Likes
11,415
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
8,833 11,415 280
Maaskofu wa RC huwezi walinganisha na ao wengine. Yan mtu anaweza jifungulia kanisa lake leo akajiita asikofu na akifa anaridhiwa na mwanaye au mke wake anakuwa askofu. Hawa ndyo maskofu matapeli wsnaoweza kushiriki matukio kma ayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,078
Likes
14,004
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,078 14,004 280
PhD si kitu, kama ni hivyo mbona wanafundisha mengi yasiyokuwemo kwenye Biblia?. PhD ni jina tu, labda ww ndo linakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui Biblia ni ya hao hao Wakatoliki...??? Iwe ya Vitabu 66 au 72/73 ujue ni mali ya hao wakatoliki
 
M

Mzeepunda

Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
24
Likes
12
Points
5
M

Mzeepunda

Member
Joined Aug 11, 2018
24 12 5
Nimekuuliza, "maaskofu sahihi mbele za Mungu ni wale wanaolawiti watoto Vatican???". Unapaswa kujibu tu simple bila kupindisha majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapa tunachanganya matendo ya watu na imani yenyewe, imani inakataza matendo yote nayaenda kinyume na matakwa ya mungu,na kutenda kinyume na matakwa ya mungu ni dhambi ambayo ufutwa kwa kutubio yaani kutubu.tumeona katika maandiko ya dini wafalme wakimkosea mungu na kutubu. Wakristu tunaamini uaskofu umetoka kwa Mungu kupitia kwa Kristu mwenyewe kwa kuwawekea mikono kichwani mitume kumi na mbili lakini mmoja wao alimsaliti yeye Kristu hadi akasubiwa msalani.kwa maana maaskofu kusaliti siyo dhana mpya katika dunia. Mwisho tuhuma za maskofu was wakooliki ku
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
8,583
Likes
5,208
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
8,583 5,208 280
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
Mleta mada naona umeamua kuwadharau maaskofu bila ya kujua kwamba unawadharau. Unawapanga kwenye mafungu kana kwamba hao ambao hawakuwepo katika upokeaji wa ndege wana hadhi kuliko wale waliokuwepo.

Sina uhakika kama wewe ni mkristo au la, ulichokiandika na kuwadhalilisha hao maaskofu na huyo shekhe kwa sababu za kipuuzi za kisiasa. Hujawatendei haki hata kidogo.

Msingi wa uzi wako ni mkuu wa mkoa, lakini kumbuka kuwa JPM huwa anakwenda kanisani pale Saint Peters au Saint Joseph na kupata baraka za hao maaskofu ambao wewe umewatumia katika kuwatukana hao wengine.
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
4,842
Likes
4,824
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
4,842 4,824 280
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
Wameshagundua kuwa alivyo mwana ndivyo alivyo Baba,ili taasisi zao ziendelee kuwa na uhakika wa kujikimu hawana Namna zaidi ya kujikomba Kwa mwana ili Baba awaridhie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
956
Likes
654
Points
180
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
956 654 180
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
Wakatoliki hawaendekezi njaa, na wana akili timamu hawawezi kuwasikiliza vichaa.
 
Kimemeta

Kimemeta

Member
Joined
Dec 27, 2017
Messages
32
Likes
40
Points
25
Kimemeta

Kimemeta

Member
Joined Dec 27, 2017
32 40 25
Wale wanaolawiti watoto ndo maaskofu?, wale wanazaa nje licha ya kukatazwa ndo maaskofu?, wale wanaofundisha upagani ndo maaskofu???.

Labda neno askofu limeshapoteza maana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nano Askofu lilikua na maana lini wakati maaskofu wakiwa akina nani?Maana nachojua dini zote zimeanza kutokea kwenye ukatoliki so hata Maaskofu wa mwanzo ni wakatoliki,hawa wengine wa juzi juzi tena mtu analala tu akiamka anajiita Askofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,705