Kwanini Makonda anawadhalilisha sana maaskofu kama Malasusa, Kakobe n.k? Sidhani kama ana ubavu wa kumpigia Ruwaichi, Pengo au Nzigilwa!

U

Umwilisho

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
41
Likes
111
Points
40
U

Umwilisho

Member
Joined Jan 4, 2019
41 111 40
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
 
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
3,793
Likes
3,980
Points
280
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
3,793 3,980 280
nchi hii kila mtu amekua muoga ndio maana wanasingiziwa kila kitu na wamenyamaza kimya!
 
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
1,905
Likes
3,155
Points
280
Age
49
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
1,905 3,155 280
Hao maaskofu wanaiga tu , uaskofu ni ukatoliki kwani ndio Jesuits , Makonda anajua hawezi kuwachezea , ndio dunia yenyewe . Kwa mwanafalsafa anajua ukatoliki ni "Jesuits "

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mkuu umetisha utakuwa unajua mengi sana.
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
4,611
Likes
3,667
Points
280
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
4,611 3,667 280
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
Askofu Malasusa anawadhalilisha sana waluteri!
Mlichoandika aidha mmekighushi mwenyewe au mnaeneza uzandiki.
Watoto wa Ibilisi nyie na kizazi cha nyoka.

Askofu Malasusa hayupo nchini toka juzi
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,786
Likes
17,204
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,786 17,204 280
Makonda Bashite ni hopeless..
Mwanaume huwezi kuwa na umbile kama lile ukawa na akili hata siku moja..
Refer ile video clip wakati anaenda kupiga penalty siku ile alivyocheza mpira pale U/Taifa.
 
E

El fadiga

Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
38
Likes
39
Points
25
E

El fadiga

Member
Joined Jan 31, 2018
38 39 25
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,886
Likes
1,107
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,886 1,107 280
Kila tukio utamsikia kuwa eti amewapigia hao maaskofu na wamemwambia wako njiani wanakuja. Kwa nini maaskofu hao wamejishushia hadhi hivyo makonda anachazesha kama pia.

Sidhani kama anaweza kuwacheza maaskofu kama akina ruwaichi, pengo au nzigilwa kwanza simu yake hawawezi kupokea ndo maana visherehe vya kishezi hawaandaji wale wanatambua heshima yao
Kwa hio mmeanza kuwachonganisha na hawa pia eeh!

Sisi hatutaki hayo tunasubiri na hizi zipakwe rangi kwanza. Tupande watu wa Songea, Shinyanga, Mara, Tabora,kigoma,mtwara nk. Nyinyi endeleeni kulilia maziwa.
tapatalk_1547239015576-jpeg.992185
tapatalk_1547239041066-jpeg.992186

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Umwilisho

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
41
Likes
111
Points
40
U

Umwilisho

Member
Joined Jan 4, 2019
41 111 40
Ww unadhani Pengo, Ruwaichi na Nzigilwa ni bora sana kuliko hao wengine uliyowataja kiasi kwamba Makonda hawezi kuwaita???.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale ndo maaskofu hawa wengine ni njaa tu. Kwanza uaskofu si waliamua kujiita tu wenyewe kama ambavyo hata mimi naweza kujiita askofu but in reality mi mchumia tumbo tu. Kuwa askofu wa katoliki kuna mchakato mrefu mno siyo hawa wa vodafasta.
 
U

Umwilisho

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
41
Likes
111
Points
40
U

Umwilisho

Member
Joined Jan 4, 2019
41 111 40
PhD si kitu, kama ni hivyo mbona wanafundisha mengi yasiyokuwemo kwenye Biblia?. PhD ni jina tu, labda ww ndo linakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia wanafundisha ambayo hayako kwenye biblia! Au uwezo wako wa kuwaelewa ni mdogo mno tu! Huwa unaenda kapa hivyo unawatafuta akina kakobe ambao mnafanana uwezo ili umuelewe kirahisi mana anafundisha vya juujuu vile vya kuahidi utajiri bila kufanya kazi
 
Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091