Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,490
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa (19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe.

IMG_8614.jpg
 
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
TCRA wako busy kuongeza gharama za bando na kuhakikisha hakuna mtanzania anatumia whatsapp kupiga simu za nje bila malipo.
 
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sana
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
 
Labda miaka ya nyuma wakati inaanza, sahivi wanakata.
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
Mimi siku hiz nasave equity bank hawana makato kabisa.. Hata baada ya mwaka hela yako ni ile ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom