Kwanini makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yasiwe kanda ya Ziwa?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki yapo Tanzania tena Jijini Arusha.
Naamini Makao Makuu ya Jumuiya hiyo yalitakiwa yawe Kanda ya Ziwa hususani kati ya Mikoa Mwanza, Mara au Kagera.
Sababu kubwa ni za Kijiografia
1.Kiuchumi
2.Kimkakati
3.Kisera
4.Kihistoria
Karibuni kwa maoni
 
Hivi Bange / Bangi ( Sigara Bwege / Mtemba / Puje ) ya Arusha, Mwanza, Mara na Kagera ipi ni Kali na inasababisha uchapaji Kazi wa Mtu unaopelekea katika Ufanisi kuongezeka na kuwa juu?
 
Wadau
Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki yapo Tanzania tena Jijini Arusha.
Naamini Makao Makuu ya Jumuiya hiyo yalitakiwa yawe Kanda ya Ziwa hususani kati ya Mikoa Mwanza, Mara au Kagera.
Sababu kubwa ni za Kijiografia
1.Kiuchumi
2.Kimkakati
3.Kisera
4.Kihistoria
Karibuni kwa maoni
Toa hoja yako kwa kulinganisha Arusha na Mara au Kagera sio kutoa hoja, ilikuchochea watu wakanda ya Ziwa.....
 
Back
Top Bottom