Kwanini Makampuni makubwa duniani yanapenda kuweka Makao yao Makuu nchini Kenya kwa ukanda huu ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5. BBC

6. Aljazeera
 
Kwa sababu kenya kuna mazingira rafiki na pia policies zao zinatabirika(constancy) tofauti na nchi nyingine ambazo rais anaweza tu kuamka na kudai "Airtel ni mali yetu 100% ila kuna wahuni walitaka kutuibia" kumbe hata 45%share hawana!
 
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5.
We ulitaka waweke wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi ya Kenya rafiki na mji mkuu wao Nairobi upo salama zaidi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5.
Hata Aljazeera wana ofisi yao Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.

Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?

Tumieni akili basi mbona mnahangaika na vitu viko wazi!!!!

Jibu ni kwamba nairobi imeendela mapema sana zaidi ya miji mingine yote EA.kwa vyovyote tu ingekuwa hivyo.

Il sasa swala hili haliwezekani tena maana inakwenda kupoteza ufalme wake wa muda mrefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom