johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,591
- 141,394
Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!