Kwanini maiti nyingi za watu maarufu zinahifadhiwa Lugalo?

spleen,
Uongo mtupu na acha uchochezi.
Lugalo Military Mortuary iko wazi kwa mtu yeyote na hawana urasimu.

Jinyi msiojua kuwa jeshi ni la wananchi ndio mnaeneza habari za UONGO.

Binafdi nawashukuru sana madktati navwahudumu Lugslo Genersl Militsry Hodpital pale mtoto wangu nilimpelekavhspo akiwa mahututi wala haongei na infact tulishakata tamaa.

Ndani ya mwezi mmoja walimshughulikia tenavkwabupendo mpaka akapona.

Nasikitika sana nikiona mtu anatia uongo wa dhahiri na psipo na ukweli wowote.

Baba yangu mzazi alihudumiwa hapo mortuary siku alipotutoka.

Si vizuri kueneza UONGO.
 
Sasa tatzo ni kusema wafanyakazi wote ni wanajeshi au??? Wewe ndo mjinga maana mtu huwezi kuwa Doctor au mfanyakazi wa jeshi na sio mwanajeshi NEVER...NEVER... Vingine vyote ni kweli japo kuna wataalamu wa postmoterm hata Muhimbili lakini ukitaka Kufanya kazi jeshi lazima uwe Mwanajeshi..
Acha uongo wewe sio kila mfanyakazi huko jeshini ni mwanajeshi Sema hujui tu, tuulize sisi ambao tunakaaa jeshini tumesoma jeshini tumekulia jeshini na Ndugu zetu wengi ni wanajeshi, huyo aliekuambia hapo juu ni mzoefu usilazimishe usilolijua na usipende kutetea kihisia wapo manes raia, wapo wahasibu raia Na madaktari raia Na wengne raia
 
Ila lazima ujue kuruka kichura churaa na push up.
 
Acha uongo wewe sio kila mfanyakazi huko jeshini ni mwanajeshi Sema hujui tu, tuulize sisi ambao tunakaaa jeshini tumesoma jeshini tumekulia jeshini na Ndugu zetu wengi ni wanajeshi, huyo aliekuambia hapo juu ni mzoefu usilazimishe usilolijua na usipende kutetea kihisia wapo manes raia, wapo wahasibu raia Na madaktari raia Na wengne raia
Hivi ukiwa mwanajeshi unakuwa sio raia au??
 
Kiukweli baada ya kufika Muhimbili na kuona yale majokofu na aina ya baadhi ya maiti zinazowekwa huko nikasema ikatokea mtu wangu wa karibu anayenihusu na ikawa nasimamia uhifadhi wake, basi hatawekwa Muhimbili. Ataenda Lugalo, au pengine penye hadhi.

Muhimbili jina kubwa ila yale majikofu hapana aisee. Maiti aina yoyote unayoijua wewe, ya kifo chochote zinawekwa humo, tena wawili wawili. Hiyo ndio sababu kuu
View attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?

Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila

Why LUGALO???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia wanaoenda mbinguni direct ndio wanapitia lugano nyie mnaoenda jehanamu sehemu zenu ni huko muhimbili na mloganzila
 
Huwa mnahitaji ulinzi wa nini?
wewe ukifa unataka mwili wako uhifadhiwe wapi?

mwananyamala hakumna parking nzuri, kumekaa hovyo na pembeni ya mochwari kuna jalala linanuka sana.
kuna mateja huwa wanawaibia waombolezaji , wanajifanya wapo kwenye msafara then wanomba kupiga simu na kutoweka na simu za wafiwa.

haya huko muhumbili napo kumekaa kushoto maana matajiri wa dar wanakaa masaki, mssani, mbezi na kawe, lugalo ni senta nzuri kwa waio kuja na kuondoka.
lugalo ni ya jeshi na kuna ulinzi, huko mashenzini nkama mwananyamala hakuna hata mgambo wa jiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayati hupelekwa Lugalo
Marehemu hupelekwa Muhimbili
Mwendazake hupelekwa Temeke/Amana
Inategemea nafasi yako katika jamii. Ila ule ujiko wa Lugalo utaufaidi siku moja au mbili tu baada ya hapo nyenyere na sisimizi wanaanza kukukula
 
Nahis sababu ni karibu na makazi yao
View attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?

Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila

Why LUGALO???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana watu wameambiwa uongo wa kutosha na bado wamemwaga likes kama hawana akili nzuri.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Back
Top Bottom