Kwanini maiti nyingi za watu maarufu zinahifadhiwa Lugalo?

Watanzania bana,kila kitu mnauliza tu au hamtaki lugalo wapate hilo hela za kuhifadhia maiti? Soon mtaanza kuuliza kwann posta kuna magorofa..🤔
 
Na mm niulize swali kabla ya kuchangia.....
Je wanapelekwa lugalo kwa amri ya naji?!
1. Mahakama?
2. Madaktari?
3. Rais?
4. Polisi?
5. Familia?
6. Nk

Tujibu hapo ndipo maswali mengine yatafuata
 
Na mm niulize swali kabla ya kuchangia.....
Je wanapelekwa lugalo kwa amri ya naji?!
1. Mahakama?
2. Madaktari?
3. Rais?
4. Polisi?
5. Familia?
6. Nk

Tujibu hapo ndipo maswali mengine yatafuata
Polisi
 
Na mm niulize swali kabla ya kuchangia.....
Je wanapelekwa lugalo kwa amri ya naji?!
1. Mahakama?
2. Madaktari?
3. Rais?
4. Polisi?
5. Familia?
6. Nk

Tujibu hapo ndipo maswali mengine yatafuata
7.CCM
 
Mkuu kwa nini unawatoa watu nje ya mstari?jamaa kauliza hajapata majibu nami nayasubiria maana kuna jamaa juzi aliuliza swali Kama ilo.Sasa hiyo comment yako imewatoa watu kwenye mstari.
my apology... Lakini ile ni hospital ya jeshi tukumbuke.. Kuna baadhi ya mambo jeshi pekee ndio huya handle kwa uadilifu
 
Majokofu ya kutosha,kujipanga kwa faragha na usalama wa marehemu na ndugu/wanafamilia(hasa mali na vitu), maana misibani wanajaa vibaka(rejea nyumbani kwa Dr Mengi),nafasi ya kutosha
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom