Mechanical Engineer
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 230
- 130
Do you enjoy working there?Nikafanye kazi
Do you enjoy working there?Nikafanye kazi
Yakuchomoa yale mananihii ya wakubwa?? Kweli mshana jr we kiboko Nasikia eti huwa mnawa ninihii hata maiti. Je ni kweli??Nikafanye kazi
100%Do you enjoy working there?
Yakuchomoa yale mananihii ya wakubwa?? Kweli mshana jr we kiboko Nasikia eti huwa mnawa ninihii hata maiti. Je ni kweli??
Una ujasiri wa hali ya juu. Hongera sana mkuu.100%
Una ujasiri wa hali ya juu. Hongera sana mkuu.
Mkuu kwa nini unawatoa watu nje ya mstari?jamaa kauliza hajapata majibu nami nayasubiria maana kuna jamaa juzi aliuliza swali Kama ilo.Sasa hiyo comment yako imewatoa watu kwenye mstari.
PolisiNa mm niulize swali kabla ya kuchangia.....
Je wanapelekwa lugalo kwa amri ya naji?!
1. Mahakama?
2. Madaktari?
3. Rais?
4. Polisi?
5. Familia?
6. Nk
Tujibu hapo ndipo maswali mengine yatafuata
Ndio nini asee umeniacha!Yakuchomoa yale mananihii ya wakubwa?? Kweli mshana jr we kiboko Nasikia eti huwa mnawa ninihii hata maiti. Je ni kweli??
7.CCMNa mm niulize swali kabla ya kuchangia.....
Je wanapelekwa lugalo kwa amri ya naji?!
1. Mahakama?
2. Madaktari?
3. Rais?
4. Polisi?
5. Familia?
6. Nk
Tujibu hapo ndipo maswali mengine yatafuata
my apology... Lakini ile ni hospital ya jeshi tukumbuke.. Kuna baadhi ya mambo jeshi pekee ndio huya handle kwa uadilifuMkuu kwa nini unawatoa watu nje ya mstari?jamaa kauliza hajapata majibu nami nayasubiria maana kuna jamaa juzi aliuliza swali Kama ilo.Sasa hiyo comment yako imewatoa watu kwenye mstari.
Sikuhainisha kuwa umefanya kosa comrade.kosa langu ninini ndugu