Kwanini Maguguli amekubali TFF walitie aibu Taifa?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Siamini kwanza kama Magufuli amekubali japo najiuliza kwa nini TFF hawachukuliwi hatua na vyombo husika kama takukuru, usalama etc.

TFF ni genge la wapiga dili, hakuna jambo linafanyika bila pesa.

Kocha mzuri ni yule atakaye waachia ulaji. Kwa TFF kama hii Mzee Magufuli hata utoe tr 10 Taifa stars haitafika popote.
 
Hivi Malinzi na wenzake walio mahabusu si walikua ni viongozi wa TFF. Aliyewachukulia hatua ni nani?
 
Siamini kwanza kama Magufuli amekubali japo najiuliza kwa nini TFF hawachukuliwi hatua na vyombo husika kama takukuru, usalama etc.

TFF ni genge la wapiga dili, hakuna jambo linafanyika bila pesa.

Kocha mzuri ni yule atakaye waachia ulaji. Kwa TFF kama hii Mzee Magufuli hata utoe tr 10 Taifa stars haitafika popote.
Maguguli ndio nani ? Taabu tupu !
 
Back
Top Bottom