pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,465
- 6,109
Magufuli hafai kuwa rais kwa sababu hizi,
1.Sio mwanasiasa.Tanzania bado haipo tayari kuongozwa na mtu asiye mwanasiasa.Tanzania inahitaji kiongozi mwanasiasa anayeweza fanya lobbying na mwanadiplomasia.
Hii pekee inakufanya usimpe Magufuli kura.
2.Magufuli ni mtendaji na sio kiongozi,tunahitaji kiongozi.
Tanzania haimtafuti bwana miradi au mkurugenzi wa maendeleo!Tunamtafuta mtu wa kutoa dira na kukwamua nchi penye mikwamo.Magufuli ni msimamizi mzuri wa miradi ila sio kiongozi wa mfano.Nchi inaweza kujikuta kwenye migogoro na mikwamo kama kiongozi wake hana ushawishi wa kutoa dira.
Hizi ni sababu kubwa za kutokumpa kura yangu Magufuli.