KWANINI MAGUFULI AKUPEWA MIUNDOMBINU(reli,bandari,barabara,majini,)

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
kuna ufisadi mkubwa nazani,ujenzi hakuna kitu miradi mingi imeisha labda viwanja vya ndege
 
Hasa reli bse kuna watu wana semi trailer mpaka 500 KWA ajili ya kubeba shaba,mbolea so subbotage ya reli ndo suluhisho
 
marafiki na mashoga wa KIKWETE WANGEHARISHA AKUPENDA KUWAZALILISHA HIVYO
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya hizara ya miundombinu na Ujenzi. Maana kama Tanroads iko ujenzi inakuwaje barabara ziwe wizara tofauti??
 
Back
Top Bottom