Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,091
- 5,279
Kesi ya uhaini ya kutaka kumpindua Nyerere 1982/83,magazeti ya serikali na chama ndo yaliandika kila kitu kilichoendelea mahakamani.CCM na Mbowe wapi na wapi bwashee?!!!
Utoto unakusumbua. Ugaidi ni jambo kubwa sana katika taifa lolote, hivyo hata namna inavyo ripotiwa kesi hiyo lazima iwe kwa uzito mkubwa sana tofauti na hizo kesi zenu za kubaka kuku.Kwani yakiripoti ndio mwenendo wa kesi utabadilika?
Hii ni kesi nzito kwenu chadema sababu inamhusu Bosi wenu mkuu.
Lakini haiwahusu watanzania wengine.
Kumbuka sio kila mtanzania ameweka siasa mbele.
Pia kumbuka kwamba kila mtu anao ufuasi na itikadi yake tofauti.
Usilazimishe jambo lenu liwe la kila mtanzania.
Wewe kashindie mahakamani na wenzio watashindia kwenye kahawa na wenye majukumu yao wataelekea kwenye utafutaji wa riziki za familia zao.
Mashahidi wako 24 na 10 tayari wakiwemo Principle key witness 5 tayari wametoa ushahidi na hakuna aliyeonyesha beyond reasonable doubt hata viashiria vya ugaidi, hapo wanamfungaje?Akifungwa wataripoti
Yaaani umekamata magaidi ukatangazia dunia lakini unaogopa kuinyesha ushahidi wa kiwaumbua hao magaidoVipi angekuwa analemewa na kesi wasingeripoti kweli?
Itakuwa dhamiri inawasuta. Ni sawa na kwenda kulia kweye msiba wa marehemu ambaye ulimuua mwenyewe.Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.
Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?
Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
TafakariTokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo.
Hii inashangaza kwa kesi nzito kama hii kwa magazeti hayo kushindwa kuripoti, nini sababu?
Je, ni kutokana na kudhalilishwa kwa mashahidi wa mashtaka kwa ushahidi wao wa Michongo? Au aibu ya serikali kwa kutunga kesi ambayo wadau wa sheria wa ndani na nje ya nchi hii wameiita ya kipuuzi kupata kuanzishwa kwa sababu za hovyo?
Kila wakibanwa wanakuja na hoja 'siwezi kusema kwa sababu za kiusalama'. Uhuni mkubwa.Yaaani umekamata magaidi ukatangazia dunia lakini unaogopa kuinyesha ushahidi wa kiwaumbua hao magaido