Kwanini magari ya Rais yapate hitilafu wakati huu!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini magari ya Rais yapate hitilafu wakati huu!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivumah, Jun 10, 2010.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ndg zangu wanajamvi wenzangu hebu tujadili hili suala, najiuliza ni kwanini Magari anayotumia Mh.Rais yamepata hitilafu wakati huu kama ambavyo tumesikia matukio mfululizo katika Media, tukio la Dsm na Moshi. kwa kweli ni matukio ambayo hayajazoeleka katika masikio na macho ya watanzania. najiuliza kuna nini kinaendelea mpaka Gari la Rais lipate hitilafu. Tujadili
   
 2. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunakaribia October kwa hiyo mambo kama haya lazima yajitokeze...mwaka huu wakina mwizukulu jilala wameshindwa kazi nini???
   
 3. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Gari kuharibika ni jambo la kawaida.....................la msingi ni kujiuliza je magari yanapata service makini! Ukizingatia ziara nyingi na ndefu Mkuu anazofanya ndani ya nchi, ni dhahiri yanahitaji matengenezo ya kina. Sasa hayo matengenezo huwa toshelezi? Hivi hizi gari zishatembea km ngapi tangu ziletwe nchini? Usije kuta zishapitisha 100,000 km, nani anajali?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Kwetunikwetu umenena.poor maintanance na lolw quality fuels
  na hii ni kwa kuwa hizo Land Cruiser zina protection system japo ina kasoro ya kup;okea mafuta machafu kwani Landrover discovery IV ukiattemt kurefill mafuta machafu inafunga mfuniko wa tenki kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...