Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

Wachache ina maana wapo Isanga. Inawezekana si wewe au mtu unayemfahamu.
Tanzania tunaendesha magari chakavu ya muda mrefu hiyo imekua kasumba yetu kwa sababu ya kukimbia Kodi kubwa kwa magari ya miaka ya karibuni na ndio maana unaona nyuzi za kuponda magari chakavu haziishi humu..magari hayana matatizo matatizo yapo kwenye uchakavu wetu...tunanunua gari ya 2002 na wewe unasema mpya harafu isikusumbue kweli...
 
Upo sahihi.
 
Sijawahi kuona mtu ananunua mpya gari Tanzania zaidi ya serikali la 2018 tuu tunatafutana ndio iwe mpya mazee yaani 2021...
Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima🐒 anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walioenda shule sahihi za ufundi wa magari.
 
Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walienda shule sahihi za ufundi wa magari.
Tz Kuna maduka ya tairi used na za kuchonga zionekane zina kashata ila zilishaexpire kitambo.
 
Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima🐒 anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walioenda shule sahihi za ufundi wa magari.
Mbona wazungu wapo kibao ambao sio watunzaji wazuri wa magari...
 
Wengi wao waganga njaa tu sasa mtu anajiita fundi umeme ama fundi waya hana lolote anahangaika kuchuna nyaya na kuunganisha kitesta sijui kimechoooka anaungaunga hajui A wala B, mwisho anakwambia sensor imekufa lete laki tano Mxiuuuuuuuuu , kuna mmoja nilimtandika makofi hana hamu.
 
Si bure una idea za ufundi au umeendesha gari bovu mda mrefu huko nyuma
Hapana sijawahi kuendesha gari bovu..
Hili ndilo gari langu la kwanza na niliagiza Japan mwenyewe. Lina miaka 6 na miezi 10 sasa..Ila ninalijali sana.

Service nyeti kama oil ya injini, gear box, kusafisha strainer, sijui plugs huwa nafanya mwenyewe...Fundi simruhusu aguse huko...Wao huwa nawaachia Brake pads na makorokoro ya huko chini ambayo hayahitaji akaili sana bali yanahitaji nguvu sana na huwa namsimamia..

Binafsi napenda sana mambo ya magari na huwa ninajifunza sana na kusoma makala mbali mbali za mambo ya magari.

mara nyingi nikienda kwa fundi, ninakuwa na uhakika zaidi ya 95% kuwa tatizo ni kitu fulani.

Siruhusu fundi asogeze pua kwenye injini au transmission ya gari langu..
 
wakuu nissan dualis inasauti mbaya kama exahaust ina tundu lakini nilifungua nikakuta yale masega hayapo je hii inaweza kuwa sababu na naweza pata wapi masega
Kama uliilaza garage lazima wameshaiba..
Unaweza kupata kwa kuagiza kati ta laki 6 mpaka laki 8.

Au upate gari lililopata ajali wakuuzie kisela...
 
Kwa utashi wangu naona kama kitu kikikosekana na maisha yanaenda basi hicho kitu sio lazima kiwepo.
Basi unakosea mkuu, kama vipi anza mtindo mtindo wa kupunguza bolts kwenye chuma yako cause hata ikipelea bolt moja au mbili life litasonga...

Anzia kwenye matairi kisha nenda mpaka kwenye steering wheel , shock absorber /spring na kwingine kote...

Then utanipa majibu...
 
nimeshaanza. stabilizer ilikuwa inaleta mambo meusi, ikarekebishwa mara ya kwanza, ya pili muda mfupi tu baadaye, nikaona ukiazi huu. nikaitoa, sai iko store.

nafanya hivyo kwenye non-essential parts tu.
 
spea za kunjunga kwa nissan sio pahala pake.... weka vitu ufurahie gari
 
Ndugu yangu nimeona uzi wako,sasa hivi unataka kuhamia Nissan?
mkuu nilikuwa nimepaki nataka niifufue , niliunguza cylinder head make nissan na coolant ni pete na kidole , safari za shamba zinakaribia mkuuu
 
Back
Top Bottom