Kwanini mafundi mnajenga vyoo vya hivi?

Hivyo vyoo vya kukaa sijui watu wanavipendea nini!?

Niliwahi enda sehemu ndo kipo choo hicho tu ikabid nipande juu, wacha nishuke nacho bahati hakikuniumiza.
Ila vyoo vya kukaa ni ushamba labda ni msaada kwa wenzetu walemAvu.
upo sawa mkuu hata mie sipendi kweli , unakuta eti wwngine wanatumia kw famila nzima mmh.
 
Na utu uzima huu nachuchumaa vipi? Hebu acheni utani nyinyi watoto. Kunya ni starehe sio adhabu wacha tukae huku tunasoma gazeti.
Hata mimi nikiwa mdogo kijijijini sikuwahi kukipenda hicho choo.

Ndio, kinahitaji usafi sana, kikiwa cha public huwa napata taabu sana, labda kuwepo na tishue nilisafishe.

Ni kizuri ukiwa nacho kwaajili yako lkn sio public
 
Na utu uzima huu nachuchumaa vipi? Hebu acheni utani nyinyi watoto. Kunya ni starehe sio adhabu wacha tukae huku tunasoma gazeti.

Hata mimi mzee pia ila kama hakuna cha chini naweka kigoda au ndoo na hii inasaidia hata wenye constipation lazima washushe
Scientifically proven
IMG_4131.jpg
 
Waliosema Architecture asome miaka 5 pale Ardhi University sio wajinga sasa jikute bahili tu
 
Hivyo vyoo vya kukaa sijui watu wanavipendea nini!?

Niliwahi enda sehemu ndo kipo choo hicho tu ikabid nipande juu, wacha nishuke nacho bahati hakikuniumiza.
Ila vyoo vya kukaa ni ushamba labda ni msaada kwa wenzetu walemAvu.
Vyoo vizuri ni Indian toilet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom