Kwanini mafisadi wote hutokea kaskazini,nyanda za juu na sio pwani?

Kirongwekwetu

Member
Apr 14, 2011
11
1
KWANINI MAFISADI WOTE HUTOKEA KASKAZINI,NYANDA ZA JUU NA SIO PWANI?
1) Jee huko maadili yamekuwa mabaya
2)Wajanja sana na wanajua matumizi tofauti na viongozi wa mikoa ya pwani?
 
Loliondo Gate, Kiwira Coal Mine, ni kashfa zinazo wahusu wachagga?
 
KWANINI MAFISADI WOTE HUTOKEA KASKAZINI,NYANDA ZA JUU NA SIO PWANI?
1) Jee huko maadili yamekuwa mabaya
2)Wajanja sana na wanajua matumizi tofauti na viongozi wa mikoa ya pwani?

Watu wa kaskazini, nyanda za juu wanajua kutafuta pesa, watu wa pwani wakishakula wakishiba inatosha
 
JK,idd Simba, mkapa ,mwinyi, late Kigoma Malima,Manji,Patel,Tanil ni watu wa kaskazini
na hata Karume Aman (RUSHWA KWENYE ARDHI )ni watu wa kaskazini???????????
 
Basi kama mmehamua kumwaga mboga, nasi twamwaga Ugali. Mafisadi kwani wana rangi gani? dini gani? Asili (Origin) gabi? Hebu tumsikilize bwana Mengi then tutrafakari. NAwasilisha.....
 
Last edited by a moderator:
Ni tabia ya mtu sio kanda wala Kabila bana!, Huyu jamaa katokea kijiji Gani??, afu inavoonekana hana umeme kwake tehe!
 
Back
Top Bottom