Kwanini Mafisadi wasiombe Msamaha?

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Kwanini Viongozi walio iba fedha za wananchi wasi ombe msamaha!!
waseme wazi walicho kifanya!!

Tanzania imesha kosa Mode-Viongozi!! Roho mbaya!!
Ina shangaza viongozi hawakubali...

Ujambazi unao kua sasa Tanzania ni sababu Yaufisadi!! Ujinga ni sehemu ya ufisadi--
Je wana mioyo ipi!!?

Aibu na vifo vitafuata..Na huzuni kwenye mioyo iliyo jaa kutu na unyama
3043_lg.jpg
 
Vipi......Waombemsamaha wasiombe??.... sasa ...Mtawafanya nini?
 
its their law! a true soldier would rather die than surrender!
 
ufisadi ni imani na wana mtandao dunia nzima - kama we unavyoabudu imani yako nao wanaabudu vile vile, sasa moja na vitu wanavyoviabudu ni Kupata pesa for all means! watanyonya popote pale kwenye mwanya ili wajinufaishe wao kwa wao.
Wana ujasiri mkubwa sababu wana pesa nyingi sana, na pesa hizi ndizo zinawapa jeuri - wanaweza kununua hata dola isipokuwa makini.
Dola legelege zinafikia hatua ya kupigia mafisadi magoti kuomba mikopo ya riba -

Sasa ndugu yangu ni kichekesho siku moja katika mawazo yetu waje kutupigia magoti sisi maskini, mafukara wa nchi hii.- "siku hiyo tutaiita siku ya utakaso"
 
Gwe gwe gwe gwe!! Kijana unajua kushona maneno,hii nimeipenda!!
Pesa bwana acha tu!
Pesa zinabadili sana watu!
Pesa zinatenganisha sana watu!
Pesa zinanyofoa roho za watu!
Pesa zinatengeneza jeuri ya mtu!
Ukiwa na pesa ukikutana na mwenzio ambaye ni si kitu mbele yako unaweza ukampita tu hv utafikiri hujamuona!
Duh Pesa pesa pesa pesa acha aaaaachaa!
Pesa binadamu wanapendaa! wakipata pesa tu wanatafuta wanachokitaka!
gwe gwe gwe gwe!!
 
Kwanini Viongozi walio iba fedha za wananchi wasi ombe msamaha!!
waseme wazi walicho kifanya!!

Tanzania imesha kosa Mode-Viongozi!! Roho mbaya!!
Ina shangaza viongozi hawakubali...

Ujambazi unao kua sasa Tanzania ni sababu Yaufisadi!! Ujinga ni sehemu ya ufisadi--
Je wana mioyo ipi!!?

Aibu na vifo vitafuata..Na huzuni kwenye mioyo iliyo jaa kutu na unyama
3043_lg.jpg
Kama unampango wa kuwasamehe we wasamehe tuu,kwani mpaka waombe msamaha?mbona yesu aliwasamehe waliomsulubu ingawaje hakuombwa huo msamaha,we kama unao huo msamaha wape tuu,hatutakuchukia wala nini!!
 
Msamaha na masharti....lazima waseme wali iba ibaje...na walikua na akina nani?....na wamesha iba kiasi gani....ndio tuta wasamehe!
 
Weee CCM ilishakwambia upeleke USHAHIDI kama kuna mafisadi, wao hawaamini kama kuna mafisadi mpaka uwape ushahidi (sijui wa namna gani) so to them hamna mafisadi so hamna topiki ya msamaha hapo.
 
Mna wasamehe tu...alafu...wana jirekebisha mambo yana kwenda....
 
Yaha...Mlisema mafisadi..mbona wanaendelea kuomba kura...!! Bora waombe msamaha...au sio...
 
Malizia sentensi zi fuatazo zinazohusu mafisadi

fill in the blanks

1. Ro....... A.......
2. Ka............gi
3. Y........ma......i
4. E......lo........
5. Che.......e
6. ???...k??........
7 al......aw
8. .......................................???
 
Hakuna kinachoshindikana, mbona Misri wanawadhibiti ipasavyo mafisadi. Hao wanaodhibitiwa sio waliokuwa miungu watu? wako wapi leo?. Kila anayekamatwa anadondoka mara pressure mara kisukari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom