Kwanini maduka ya dhahabu yana vioo ukutani?

JembePoli

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,324
994
Habari wana jamvi? Kuna jambo huwa linanitatiza sana bila shaka hapa leo nitafuta utata.

Ni kwa nini maduka makubwa yote ee yote yanayojishughulisha na uuzaji wa zahabu lazima ukutani kuwe na vioo,Unakuta kila ukuta kuna kioo yaani unajitizama kila upande?

Ni fashion au kuna sababu zaidi..??
 
na hujawaji kujiuliza pia kwanini rangi nyekundu/nyeusi lazima ziwepo kwenye maduka hayo!
 
Kama umesoma physics utakumbuka vioo vikiwa vingi hasa in parallel vinaongeza idadi ya picha kwahyo ni rahisi muuzaji kukuona ukiiba akiwa sehemu yeyote!
 
Hilo nalo sikutaka kulifwatilia lakini nalo neno...
Tujuze basi kama unajua chochote kuhusu hilo
 
Kama umesoma physics utakumbuka vioo vikiwa vingi hasa in parallel vinaongeza idadi ya picha kwahyo ni rahisi muuzaji kukuona ukiiba akiwa sehemu yeyote!

Eti ee lakini sina hakika kama hiyo ni sababu haswaa
 
Habari wana jamvi? Kuna jambo huwa linanitatiza sana bila shaka hapa leo nitafuta utata.

Ni kwa nini maduka makubwa yote ee yote yanayojishughulisha na uuzaji wa zahabu lazima ukutani kuwe na vioo,Unakuta kila ukuta kuna kioo yaani unajitizama kila upande?

Ni fashion au kuna sababu zaidi..??
Na kwanini pia kwenye maduka ya dawa nayo kuna vioo vikubwa vya kujiangalia??
 
Kwa sababu kuna akina ninyi mkinywa dawa sura zenu zinabadilika na kuwa kama mazombi.
Hivo mmewekewa ili mjione mkinywa dawa mnakuwaje
 
Back
Top Bottom