Kwanini Madikteta hupenda sana kusifiwa?

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Katika nchi nyingi za kiafrika ambazo watu wanauawa hovyo, kutekwa, majanga kama mafuriko, wakulima hawana masoko wafanyakazi mishahara duni biashara kudorola halafu unakuta Television ya taifa hilo kila uchao linapiga nyimbo za kumsifia rais.

Nchi hizi hutegemea fedha za Mabeberu ktk kukopa na wananchi ndio wanalipa madeni hayo yenye riba kubwa. Lakini wakipata pesa kutoka kwa Mabeberu utasikia eti Rais katoa pesa kujenga barabara. Pesa wametoa Mabeberu kwa mkopo halafu yana jitukuza eti ni Rais katoa wakati yeye mwenyewe analipwa mshara na malupulupu na wananchi wanyonge wa nchi hizo. Kwa nini madikteta hupenda sana kusifiwa?

Madikteta hupenda kujionesha yako jirani na watu na yanapendwa. Utayaona yanaigiza kula chakula au kunywa chai wakiwa na watu na wakiwa wanakula lazima tukio hilo litangazwe ili watu waone kuwa Dikteta amekula na watu au amekunywa chai na watu.

Kule Kenya nakumbuka Rais Moi vyombo vya habari vilikuwa vikimuita Mtukufu Rais Daniel Araph Moi. Nyimbo katika radio zilikuwa zinamsifia yeye na KANU tu. Kumbe watu huku wakimuimbia nyimbo za sifa Moyoni wanamng'ong'a hiloo linapenda sifa.

Leo KANU ya Moi iliyokuwa ikisifiwa na kutukuzwa tunajua ilipo.

Maendeleo hayana vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza kuwa watu wazuri na ni mfano wa mungu, maana mungu nae anapenda kusifiwa na mapambio kila siku.
 
hiyo kwa kiingereza tunaita cult of personality au cult of the leader, viongozi hupenda kusifiwa na wakati mwingine hulazimisha, hii huenda sambamba na kuweka picha zao kila sehemu au in modern times wanarusha picha mitandaoni
kwa hapa east Africa kuna nchi fulani wananchi wake wengi ni maskini na umaskini umewaharibu akili kiasi kwamba wanaamini mtu masikini ni mtu mwema au kwamba kila binadamu lazima awe maskini hivo kiongozi wao mkuu ameshawasoma akili so anawaekitia kwamba naye ni maskini ili wampende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika nchi nyingi za kiafrika ambazo watu wanauawa hovyo, kutekwa, majanga kama mafuriko, wakulima hawana masoko wafanyakazi mishahara duni biashara kudorola halafu unakuta Television ya taifa hilo kila uchao linapiga nyimbo za kumsifia rais.

Nchi hizi hutegemea fedha za Mabeberu ktk kukopa na wananchi ndio wanalipa madeni hayo yenye riba kubwa. Lakini wakipata pesa kutoka kwa Mabeberu utasikia eti Rais katoa pesa kujenga barabara. Pesa wametoa Mabeberu kwa mkopo halafu yana jitukuza eti ni Rais katoa wakati yeye mwenyewe analipwa mshara na malupulupu na wananchi wanyonge wa nchi hizo. Kwa nini madikteta hupenda sana kusifiwa?

Madikteta hupenda kujionesha yako jirani na watu na yanapendwa. Utayaona yanaigiza kula chakula au kunywa chai wakiwa na watu na wakiwa wanakula lazima tukio hilo litangazwe ili watu waone kuwa Dikteta amekula na watu au amekunywa chai na watu.

Kule Kenya nakumbuka Rais Moi vyombo vya habari vilikuwa vikimuita Mtukufu Rais Daniel Araph Moi. Nyimbo katika radio zilikuwa zinamsifia yeye na KANU tu. Kumbe watu huku wakimuimbia nyimbo za sifa Moyoni wanamng'ong'a hiloo linapenda sifa.

Leo KANU ya Moi iliyokuwa ikisifiwa na kutukuzwa tunajua ilipo.

Maendeleo hayana vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madikteta huwa na sifa nyingi sana zingine nzuri zingine mbaya
utakuta dikteta huyo anabadili gia angani na kuwa mwenyekiti wa maisha na hakuna kuhoji chochote na ukijaribu utaambiwa sumu haionjwi kwa ulimi

Wako tayari kufanya chochote kibaya ili yeye afanikiwe na ukiwaheshimu ukahama sehemu walipo atakuita we msaliti Mara oh hujafanya chochote

Hao ndiyo madikteta
 
Katika nchi nyingi za kiafrika ambazo watu wanauawa hovyo, kutekwa, majanga kama mafuriko, wakulima hawana masoko wafanyakazi mishahara duni biashara kudorola halafu unakuta Television ya taifa hilo kila uchao linapiga nyimbo za kumsifia rais.

Nchi hizi hutegemea fedha za Mabeberu ktk kukopa na wananchi ndio wanalipa madeni hayo yenye riba kubwa. Lakini wakipata pesa kutoka kwa Mabeberu utasikia eti Rais katoa pesa kujenga barabara. Pesa wametoa Mabeberu kwa mkopo halafu yana jitukuza eti ni Rais katoa wakati yeye mwenyewe analipwa mshara na malupulupu na wananchi wanyonge wa nchi hizo. Kwa nini madikteta hupenda sana kusifiwa?

Madikteta hupenda kujionesha yako jirani na watu na yanapendwa. Utayaona yanaigiza kula chakula au kunywa chai wakiwa na watu na wakiwa wanakula lazima tukio hilo litangazwe ili watu waone kuwa Dikteta amekula na watu au amekunywa chai na watu.

Kule Kenya nakumbuka Rais Moi vyombo vya habari vilikuwa vikimuita Mtukufu Rais Daniel Araph Moi. Nyimbo katika radio zilikuwa zinamsifia yeye na KANU tu. Kumbe watu huku wakimuimbia nyimbo za sifa Moyoni wanamng'ong'a hiloo linapenda sifa.

Leo KANU ya Moi iliyokuwa ikisifiwa na kutukuzwa tunajua ilipo.

Maendeleo hayana vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana invest sana kwenye Public Relations campaign ili kuficha maovu yao.
 
Dikteta ninaemfahamu vizuri ni Nduli Iddi Amini tu. Nae sikumbuki kama kuna mtu aliwahi kumsifia kwa matendo mazuri, ila utemi wake ulikomeshwa na Watanzania. Hao wengine mfano wa huyo uliemtaja unaweza kuwaita madikteta uchwara, kwa kuwa hawajafikia kile kiwango cha utemi, uonevu na ubabe kama cha Nduli Idd Amini. Na uzuri wa hawa madicketa uchwara huwa kuna mambo mazuri wanayafanya na yanaonekana yanapelekea kupata misifa
 
Pengine wewe ni mdogo . Lakini tuliokuepo kipindi cha Idi Amin Dada ni kiongozi aliyependa kusifiwa sana. Chochote alichofanya isipokuwa kwenda chooni ilikuwa ni habari .

Kinachowaponza na dictator karibu wote. Ni ile kujiona wao ni wazalendo kuliko wengine.

Odhis *
 
Aisee ni kweli ndugu, kuna jamaa moja anadai kuwa yeye atakuwa kiongozi wa Malaika eti huko mbinguni hizi kufuru hizi jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dikteta ninaemfahamu vizuri ni Nduli Iddi Amini tu. Nae sikumbuki kama kuna mtu aliwahi kumsifia kwa matendo mazuri, ila utemi wake ulikomeshwa na Watanzania. Hao wengine mfano wa huyo uliemtaja unaweza kuwaita madikteta uchwara, kwa kuwa hawajafikia kile kiwango cha utemi, uonevu na ubabe kama cha Nduli Idd Amini. Na uzuri wa hawa madicketa uchwara huwa kuna mambo mazuri wanayafanya na yanaonekana yanapelekea kupata misifa
Hukuwepo kipindi hicho cha Nduli Idd Amini.Alipokea sifa na utukufu na wapambe wake walisema alikuwa mtu mwema sana mzalendo na aliyependa nchi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom