Kwanini madaktari wafawidhi wa hospitali za Mikoa hawana thamani?

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,233
4,451
Nimeshangaa kuelezwa kwamba waganga wafawidhi - Medical Officer Incharge (MOi/c au MOi) wa hospitali tunazoziita za rufaa za mikoa kutokuwa na motisha za kiuongozi zinazoenda sambamba na nafasi zao, kama kupandishwa ngazi ya mshahara, kupewa usafiri na marupurupu mengineyo. Ikiwa viongozi wote wa kimkoa wanapata motisha kwa nafasi zao, kwanini MOi wasipewe hadhi hizo?

Kuna kitu serikali imekosea mahali.
 
Back
Top Bottom