Kwanini maajabu ya mimea iliyo Mlima Kilimanjaro ushangaza wazungu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,718
IMG_2121.jpg


Mimea hii hipo kilimanjaro
Kwa jina kibiolojia giant groundsels
Inayopatikana juu ya Mlima Kilimanjaro barani Afrika. Hapo awali ilijulikana kwa jina la kwaida kama Senecio kilimanjaro.
Lakini kivutio kikubwa cha wazungu si kushangaa mlima bali kuona aina hii ya miti ambayo ushangaza sana
 
Kwamba wazungu wenyewe wanashangaa mmea juu ya mlima Kilimanjaro,ila waafrika tunaushangaa mlima- wonderful !
 
Hii picha niliipiga mimi, naona imekuwa viral sasa!
Napaswa kupewa tuzo...
Hao wazungu nimepiga nao misele sana!
 
Interesting......................mimi Dec nategemea kupanda Kili, fingers crossed nifike huko juu nami nijionee na kupata selfie mbili tatu.
 
Back
Top Bottom