Kwanini Lunyamila ni maarufu sana jijini Kampala, Uganda?

FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,812
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,812 2,000
Winga wa zamani wa kimataifa wa Yanga na Tanzania, Edibily Jonas Lunyamila ana umaarufu mkubwa sana jijini Kampala, katika mashabiki watano wakongwe wa mpira basi watatu lazima wamuulizie Lunyamila hasa wakijua kama wewe ni Mtanzania.

Huku kwetu wabongo tushamsahau, je ndio kusema nabii hakubaliki kwao? Je ni kitu gani Lunyamila aliwafanya Waganda mpaka leo wanamkumbuka? karibuni.
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,897
Points
2,000
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,897 2,000
Kama kumbukumbu ziko vizuri kizota na lunyamila wakiwa yanga miaka ile ya 90 waliuzimisha kabisa mji wa kampala kwa kuzisambaratisha club za vila na express na hatimaye kuwanyang’anya ‘ waganda ndoo ya cecaf, miaka kama 4 tena baadaye lunyamila akishirikiana na kalimangonga waliweza kuisaidia yanga kuisambaratisha sports club villa mjini kampala na hatimaye kuwanyang’anya tonge mdomoni tena waganda na kufanikiwa kubeba tena ndoo ya cecafa
 
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
18,056
Points
2,000
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
18,056 2,000
Kama kumbukumbu ziko vizuri kizota na lunyamila wakiwa yanga miaka ile ya 90 waliuzimisha kabisa mji wa kampala kwa kuzisambaratisha club za vila na express na hatimaye kuwanyang’anya ‘ waganda ndoo ya cecaf, miaka kama 4 tena baadaye lunyamila akishirikiana na kalimangonga waliweza kuisaidia yanga kuisambaratisha sports club villa mjini kampala na hatimaye kuwanyang’anya tonge mdomoni tena waganda na kufanikiwa kubeba tena ndoo ya cecafa
Licha ya umahiri wa Lunyamila, pia Waganda walikoshwa na uhodari wa Said Mwamba Kizota alipomdhibiti straika hatari wa Kiganda, Majid Musisi.

Baadhi ya wachezaji wa Yanga ni pamoja na Salum Kabunda Ninja, Kenneth Mkapa, Bakari Malima,
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,831
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,831 2,000
Licha ya umahiri wa Lunyamila, pia Waganda walikoshwa na uhodari wa Said Mwamba Kizota alipomdhibiti straika hatari wa Kiganda, Majid Musisi
Hivi straika anaweza kumdhibiti straika mwenzake kumbe
 
johnmweusi

johnmweusi

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
196
Points
250
johnmweusi

johnmweusi

Senior Member
Joined Oct 7, 2013
196 250
Rudia tena wasifu wa Said Mwamba, licha ya uhodarii wake kucheza nafasi ya straika pia aliweza kucheza vyema katika nafasi ya beki wa kati.
Hivi Mkuu ni kweli Lunyamila amewahi kumtrngua MTU kiuno kwa kupiga Chenga tu auu ni stori za kahawa tu?
 
XaviMessIniesta

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
1,763
Points
2,000
XaviMessIniesta

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
1,763 2,000
Kama kumbukumbu ziko vizuri kizota na lunyamila wakiwa yanga miaka ile ya 90 waliuzimisha kabisa mji wa kampala kwa kuzisambaratisha club za vila na express na hatimaye kuwanyang’anya ‘ waganda ndoo ya cecaf, miaka kama 4 tena baadaye lunyamila akishirikiana na kalimangonga waliweza kuisaidia yanga kuisambaratisha sports club villa mjini kampala na hatimaye kuwanyang’anya tonge mdomoni tena waganda na kufanikiwa kubeba tena ndoo ya cecafa
Ni kombe sio ndoo
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,669
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,669 2,000
Licha ya umahiri wa Lunyamila, pia Waganda walikoshwa na uhodari wa Said Mwamba Kizota alipomdhibiti straika hatari wa Kiganda, Majid Musisi.

Baadhi ya wachezaji wa Yanga ni pamoja na Salum Kabunda Ninja, Kenneth Mkapa, Bakari Malima,
Sita, Method Mogela
 
Forum statistics

Threads 1,304,164
Members 501,290
Posts 31,505,016
Top