singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,531
kitendo cha Lowasa kuwa mgombea wa kwanza wa ccm kutangaza nia, inasemekana kuwa sababu kubwa ya kuwahi kutangaza nia ni kuogopa kuwa wagombea wenzake wataruhusu kuulizwa maswali moja kwa moja jukwaani kama alivyofanya leo asubuhi Steveni Wasira alipokuwa akitangaza nia kwenye chuo cha benki kuu leo asubuhi.
pia Mwinguru naye alifuata nyayo za wasira za kuruhusu maswali katika mjadala unaoendelea sasa ambao pia unarushwa live na star tv pamoja na redio free africa kama ilivyokuwa kwa Wasira.
wachambuzi wa mamabo ya kisiasa wanasema kuwa laiti kama lowasa angeruhusu maswali ndio ungekuwa mwisho wa ndoto yake ya matumaini aliyoianzisha jana.
tunawaomba team lowasa waje hapa kutujibu kwanini hakuruhusu maswali wakati hali inavyoendelea inaonyesha kuwa wagombea wengine wote huenda wataruhusu maswali uya papo kwa papo, je hawaoni kuwa mgombea wao atakuwa keshapigwa bao la kisigino.