Trust me Lissu ni smart kuliko wanasiasa wote hapa nchini.Kwa nini vyombo vya habari vinamfuata na kumuandika kila siku...? Wazungu wana MSEMO wao...kuwa TOO MUCH OF ANYTHING IS/ITS HARMFUL..
Wanahabari kila wanapozidi kumfuata badala ya kumpa breki, ndio jinsi bwana LISSU anavyozidi kutoa matamko yanayo pelekea watu (jamii ya Watanzania) kumuona hana pointi..
Tazama vyombo vya habari vilipo chukua maamuzi ya kutoandika habari za Ndugu Poul Makonda, hii imekuwa ni kama HASIRA ZA MKIZI, ama KUVUJA KWA PAKACHA...
Ndugu Makonda angalau ameweza kupata TULIZO japo kwa MUDA...
Pointi yangu hapa ni kwamba, ni vyema T.LISSU akakaa mbali kwa muda na hivi vyombo vya habari..