Kwanini Lissu asipuuzwe? Sasa inakuwa too much!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,049
2,000
Kila analolisema,litajadiliwa na kujibiwa. Kuanzia na wa chini hadi wa juu kabisa Serikalini na chamani. Kila analosema,litapondwa bila kupendwa na kila 'mzalendo' wa Serikalini na ndani ya CCM.

La mwisho ni la jana. Akichangia bajeti huko Dodoma,Lissu alitoa maoni kuwa Rais Mstaafu Kikwete hapaswi kupona katika sakata la madini kwakuwa ni yeye ndiye mtiasaini wa kwanza wa nyaraka za madini miaka ya tisini.Tena wakati huo Kikwete hakuna na kinga.

Maoni hayo ya Lissu yakaripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya nchi. Imekuwa nongwa! Rais Magufuli na hata Waziri Mwakyembe wameonya juu ya kuwazungumzia Marais wastaafu. Marais wastaafu,wakuu wanasema,wanapaswa kuachwa wapumzike.

Vyombo vya habari ndivyo vilivyoonywa. Lissu amesababisha hayo. Lissu anaponza media. Kwanini maneno ya Lissu yasiwe yanapuuzwa? Kuanzia makinikia hadi sasa,imekuwa too much!

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,255

Mti wenye maembe mengi ndio hupopolewa mawe mengi pia, unapoona reaction kubwa kiasi hicho kwa kila anachokisema Lissu, basi sio bure kuna jambo linagusa roho na akili, kina mashiko fulani; unaweza ukamkataa Lissu kwa mdomo lakini nafsi yako inasereketa kichinichini kwamba kuna kitu Lissu anasema cha nguvu!
 
hakika utakufa

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
1,790
2,000
Kila analolisema,litajadiliwa na kujibiwa. Kuanzia na wa chini hadi wa juu kabisa Serikalini na chamani. Kila analosema,litapondwa bila kupendwa na kila 'mzalendo' wa Serikalini na ndani ya CCM.

La mwisho ni la jana. Akichangia bajeti huko Dodoma,Lissu alitoa maoni kuwa Rais Mstaafu Kikwete hapaswi kupona katika sakata la madini kwakuwa ni yeye ndiye mtiasaini wa kwanza wa nyaraka za madini miaka ya tisini.Tena wakati huo Kikwete hakuna na kinga.

Maoni hayo ya Lissu yakaripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya nchi. Imekuwa nongwa! Rais Magufuli na hata Waziri Mwakyembe wameonya juu ya kuwazungumzia Marais wastaafu. Marais wastaafu,wakuu wanasema,wanapaswa kuachwa wapumzike.

Vyombo vya habari ndivyo vilivyoonywa. Lissu amesababisha hayo. Lissu anaponza media. Kwanini maneno ya Lissu yasiwe yanapuuzwa? Kuanzia makinikia hadi sasa,imekuwa too much!

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Leo mkweli na mwanzilishi au kuona mbali wa wizi wa madini hadi kukamatwa hana thamani tena nguo anatupiwa nje na yule alosababisha na kubariki wizi huo ,sio shida mungu atakuwa upande wake na mwisho wa hayo u karibu Lisu usiogope maneno ya hawa majizi nyoka makengeza,wengi yupo nyuma yako.
 
UKAWA2

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
2,186
2,000
Alichokisema Mwenyekiti wa Barrick Prof Thornton leo. Najaribu kutafuta aliposema kwamba watalipa pesa yote trilion 100 sijapaona,atakayepaona aniite
............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................ ''I have come here in order to help resolve the problem and I assure the President that we are interested in sitting down and reaching a resolution which is a win win (A win for Tanzania and a win for Barrick and our Subsidiary company, ACACIA)

After having these extensive conversations I feel very optimistic that we will reach a resolution which is a win win for all parties and we will be sitting down soon with a team designated by the President and our own team to go through the detail of that and I feel very good about the progress today.''
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,243
2,000
Kwa nini vyombo vya habari vinamfuata na kumuandika kila siku...? Wazungu wana MSEMO wao...kuwa TOO MUCH OF ANYTHING IS/ITS HARMFUL..

Wanahabari kila wanapozidi kumfuata badala ya kumpa breki, ndio jinsi bwana LISSU anavyozidi kutoa matamko yanayo pelekea watu (jamii ya Watanzania) kumuona hana pointi..
Tazama vyombo vya habari vilipo chukua maamuzi ya kutoandika habari za Ndugu Poul Makonda, hii imekuwa ni kama HASIRA ZA MKIZI, ama KUVUJA KWA PAKACHA...

Ndugu Makonda angalau ameweza kupata TULIZO japo kwa MUDA...

Pointi yangu hapa ni kwamba, ni vyema T.LISSU akakaa mbali kwa muda na hivi vyombo vya habari..
 
monges

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
1,040
1,500
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
CCM bado itaendelea kutawala- hakuna chama mbadala hapa tz, labda uanzishe kipya kama ni hivi tuvionavya na viongozi waliomo, ni mara100 CCM ikaendelea kutawala-wengine ndo wamegeuka kuwa Acacia je wakipewa nafasi si ndo tutakufa kabisa.
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
407
1,000
Ni Lissu pia aliyesema tusiwaguse hawa ACACIA kwakuwa watatupeleka mahakamani na tutalipishwa fidia kubwa sana.

Pia ni Lissu kwenye waraka wake aliyousambaza juzi kwenye kipengele cha 7 a, b, c d aliwataja wahusika walioingia mkataba wenye uozo akiwataja JK, Mkapa, mawaziri na manaibu na wabunge lakini kwa makusudi akawasahau MAWAZIRI WAKUU (LOWASSA NA SUMAYE).

Kwahiyo sio Serikali na CCM tu wakumpuuza huyu jamaa bali hata WANANCHI TUSIO NA USHABIKI WA VYAMA sio tu kumpuuza bali tunamtilia mashaka na kauli na mienendo yake.

Hapo bado hatujagusia swala la kuwa yeye ndiye mwandishi wa The List of Shame!!!!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,724
2,000
Kila analolisema,litajadiliwa na kujibiwa. Kuanzia na wa chini hadi wa juu kabisa Serikalini na chamani. Kila analosema,litapondwa bila kupendwa na kila 'mzalendo' wa Serikalini na ndani ya CCM.

La mwisho ni la jana. Akichangia bajeti huko Dodoma,Lissu alitoa maoni kuwa Rais Mstaafu Kikwete hapaswi kupona katika sakata la madini kwakuwa ni yeye ndiye mtiasaini wa kwanza wa nyaraka za madini miaka ya tisini.Tena wakati huo Kikwete hakuna na kinga.

Maoni hayo ya Lissu yakaripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya nchi. Imekuwa nongwa! Rais Magufuli na hata Waziri Mwakyembe wameonya juu ya kuwazungumzia Marais wastaafu. Marais wastaafu,wakuu wanasema,wanapaswa kuachwa wapumzike.

Vyombo vya habari ndivyo vilivyoonywa. Lissu amesababisha hayo. Lissu anaponza media. Kwanini maneno ya Lissu yasiwe yanapuuzwa? Kuanzia makinikia hadi sasa,imekuwa too much!

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Utampuuza Albert Einstein?!!!!!!
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,097
2,000
Lissu ni kama maji!
Lumumba hawawezi kumpuuza mbona roho zao huko haziwezi kutulia!
Anawahenyesha haswa....
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,029
2,000
Mzee tupatupa Lissu anaipa presha sana hii serikali,Cha kufanya wajaribu usajili CCM,Jamaa ana kipaji cha kuongea na kuinfluence jamii.Bungeni akisimama wabunge wote wanatulia kusikiliza anasema nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom