Kwanini liitwe Ziwa Victoria?

Sio kweli majina tunayopewa sio kwa willing zetu bali ni kwa willing za dini zetu.
Kwani kuna mtu aliekulazimisha uifuate au uiamini dini yako ? Si unaifuata kwa hiari yako mwenyewe kwa hyo hata yatakanayo na dini uliyoifuata kwa hiari yako ni pia ni ya hiari yako,ikiwemo wajina tuwapao watoto wetu
 
Kwan ukikarbati kitu unadili jina ya hicho kitu? Hiyo meli ilikuwa inaitwa mv Victoria ata kabla haijakarabatiwa, baada ya kuifanya marekebisho wakaamua kuongeza neno "new" ndio ikawa new mv Victoria,
Soma vizuri quotation utaelewa logic yangu!
 
alikuja jacob zuma rais wa africa kusini akatoa wazo kama hilo kurudi nchini kwake kafanyiwa mafigisu mpk kajiuzulu km sio kutumbuliwa!:(
🚶🏾‍♂️mkoloni na macho ya mwewe ***** zao
 
Basi mbadilishe na Dar es salaam maana jina lake halisi ni la mzizi linaitwa 'mzizima' sijui!
Mambo mengine myaache yapite tu maana hayasaidii chochote kuyabadili zaidi ya kutafuta vita tu!
 
That was my point,alitoa hlo jina in favour of his counry and leaders,pia alitoa hlo jina without our consultation,hvyo bas tunauwezo,haki na kila sbb ya kulibadilisha hlo jina na kuipa jina tulitakalo lenye kutuheshimisha au kuenzi historia yetu mfano tunaweza tukalitita ziwa nyanza,rwelu,au tukatoa jina moja la mpigania uhuru,au chifu maarufu aliekuwa anapatikana kanda ya ziwa au hata tukatafuta vifupisho vya waasis wa mataifa ya tanzani,kenya na uganda na tukapata jina,kwa kuwa ziwa linapatikana nchi zote hzo tatu na kama ishara ya kuwaenzi
cinsultation gani!! mbona tunahisahaulisha kuwa kwanza hatukuwa hata taifa kipindi hicho, tulikuwa ni mikusanyiko ya jamii za watu tu
 
Basi mbadilishe na Dar es salaam maana jina lake halisi ni la mzizi linaitwa 'mzizima' sijui!
Mambo mengine myaache yapite tu maana hayasaidii chochote kuyabadili zaidi ya kutafuta vita tu!
mzizima kilikuwa ni kijiji tena pembeni ya huo mji mpya ulikuja kuanzishwa, kwa jina jipya, wakuja tusipapatike kuasilisha vitu hata tukaondoa asili yake, dar asili yake ni dar hiyohiyo, mzizima ilikuwa kadude kwa pembeni
 
Wakuja kiaje mi hata huko sijawahi fika.Ila hata hiyo sehemu before ilikuwa na jina lake,tumieni hilo.
 
Meli mpya ambayo serikali imeikarabati/kuitengeneza mbona inaitwa new mv victoria? Kwa nini isiitwd new mv nyanza au new mv rwelu? Hvyo basi hayo majina sio rasmi kwa mujibu wa uelewa wangu
Kwenye altas za miaka ya 60's baada ya uhuru lilijulikana kama ziwa nyanza kitaifa.
Japo kimataifa limebaki kuitwa lake victoria sababu hapajafanyika jitihada ya mabadiliko katika ramani ya dunia. Baadae atlas kitaifa
Wakalirudia tena jina la kizungu
 
ni kweli kuna haja ya kubadilisha jina, tutoe majina yote ya kikoloni. tumeweza Stiegler's Gorge (sijui nimepatia?) kwanini ziwa nyanza? juzijuzi waingereza walitupa sanamu la mfanyabiashara maarufu wa utumwa kwenye mto, hii ni historia mbaya kwa vizazi vinavyokuja. miaka ijayo say 2070 inatakiwa tuwe na taifa lisilojua mambo ya mkoloni kwa sababu yanafubaza akili zetu. tunawaona wazungu kama miungu, kila mtu anataka kwenda kushi kwao, mbona waarabu, wachina wakorea wajapani warusi hawawashobokei. juzi eti mkuu w mkoa wa dsm kazuiwa kuingia marekani kwani kule kuna nini???
 
Tukitaka kulibadirisha wakenya ndio watatuangusha maana medulla oblongata zao zimeshikwa na walowezi
 
ni kweli kuna haja ya kubadilisha jina, tutoe majina yote ya kikoloni. tumeweza Stiegler's Gorge (sijui nimepatia?) kwanini ziwa nyanza? juzijuzi waingereza walitupa sanamu la mfanyabiashara maarufu wa utumwa kwenye mto, hii ni historia mbaya kwa vizazi vinavyokuja. miaka ijayo say 2070 inatakiwa tuwe na taifa lisilojua mambo ya mkoloni kwa sababu yanafubaza akili zetu. tunawaona wazungu kama miungu, kila mtu anataka kwenda kushi kwao, mbona waarabu, wachina wakorea wajapani warusi hawawashobokei. juzi eti mkuu w mkoa wa dsm kazuiwa kuingia marekani kwani kule kuna nini???
Waarabu hawashobokei Wazungu? Nani kakuambia, nchi karibu zote pale Mashariki ya Kati Ni Dam damu na USA, wananchi wake wanatamani waende Huko japo Trump kawapiga marufuku
Korea Kusini Ni mtoto was USA, USA ndio akimtoa kwenye ukoloni wa Japan na ananlinda na kushirikiana nae mambo mengi Hadi leo
Japan nae Ni mashirika wa USA, na USA ndio kaifanya Japan kuwa nchi ya democracy baada ya Vita kuu ya pili
China, kuna Wachina kibao wapo USA na Ni mashirika wa Marekani kibiashara
 
lakini hawabebi mabox wala hawafanyiwi ungese kama wanaotufanyia sisi, kule USA wanawatreat kama first class cirizens, uhusiano wa kibiashara upo huwezi kuukwepa lakini ukienda kwenye nchi zao hutakuta alama ya mzungu kama africa. eti wlikuwa wana discover( what????)
 
Back
Top Bottom