Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

Kwahiyo Kosa huwa linahalalishwa kwa Kosa lingine? Wewe Jamaa Comments zako nyingi sana hapa JamiiForums ni za Kipumbavu mno na zinathibitisha pia jinsi ulivyo Mpumbavu sana Kiasili.

Kifupi huwa Unaboa labda haujajijua tu.
Mbona muandiko kama wa Genta?
 
Kuni ita Mimi mpumbavu hakuondoi ukweli, Simba kwa miaka ya hivi karibuni wamefanya Mambo mengi ya hovyo ili kupata ubingwa, Kwa kumtumia Makonda Simba waliweza kumuondoa Manji Yanga. Kwa kuwatumiaTff Simba waliwa dhoofisha Yanga angalia sakata la Morrison Tff wamehusika kwa 100%. Wewe bado kijana mdogo Mambo ya mpira wa nchi hii ni fitina tu.

Kwahiyo Simba pia wamewatumia CAS kuwapokonya Morisson wenu? Manake ulijitapa hapa kuwa mutashinda Kesi.
 
Back
Top Bottom