Kwanini kwenye sherehe za harusi na send off wanawake hupenda kuacha vifua wazi?

Na ishu iko simple sana, wewe mwanaume ukakutana na huyo aliyejikwatua hivyo na uko karibu naye na una kila nyenzo ( ili utende haki), usimwache akupite pasipo kumsemesha. Kwasababu kati ya sababu zilizomfanya ajikwatue hivyo ni ili wewe umuone na uoneshe kwamba "Yes", nimekuchora, na namna ya kumchora ni kumuita karibu yako. Tusiwaache waende zao ama sivyo watatulaumu sana kwamba hatuko attentive kwao.
 
Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako amewataka vijana kuacha tabia ya kuikosoa na kuishambulia Serikali badala yake walipende Taifa ili kuleta maendeleo, kwani sasa Taifa linapitia wakati mgumu unaosababishwa na ukosefu wa maadili na uzalendo kwa vijana.


#KwanzaHabari
 
na kujikandika make up zisizoendana na uhalisia wa ngozi zao,hususan bi harusi
 
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
In those days we used to say,you are asking an anus while......in fact ile ni biashara mkuu,kwenye hizo sherehe huwa kuna mhemko wa ngono(horny) more from both gender.that is it.
 
sio huko tu ila siku hizi ndo fashion yao..si unajua wananyonyesha WATU WAZIMA..kila mdada unae muona ujue ANANYONYESHA HUYO soo vitu vishakua malapa a.k.a ndala so ili na wao waonekane wamo Lazima watumie JEKI.(braa)
 
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?


Shida ni kwako mkuu, unapenda kukodolea vifuani mwao, je utakosa kuona mamboi hayo??!!,

🍒Mwanamke kifuani mkuu🍒🤣🤣
 
Samahani Sana Kama Nitakukwaza Hujaweka Picture Ili Michango Ya Members Isiegemee Upande Mmoja
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom