Kwanini kwenye sherehe za harusi na send off wanawake hupenda kuacha vifua wazi?

Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
Tupia japo kapicha mchwara mkuu
 
Jambo Muhimu Sana Kujua Kwenye Hii Thread Yako Uje Na Supporting Documents Nyingi Sana Ili Wajumbe Waunge Mkono Hoja Bila Kuwahoji
1. Picture Ziwe Nyingi Zikionyesha Eneo Unalosema Hasa Sherehe Huku Vifua Wazi
2. Weka Pia Videos Ikionyesha Jambo
 
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
Hebu picha
 
Hii habar bila kapicha hainogi, tupia kapicha mkuu
 
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
picha tafadhali
 
Mazingira yale hayana tofauti na yale ya mkutano ya chama cha siasa
 
Siku zote mwanamke anatafuta attention ya mwanaume. Huo ndo ukweli, wanabana matako, vifua, wanapamba macho, midomo n.k hii yote sisi wanaume tuwaone na tumalize mapema
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom