Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,754
- 3,599
Sana ndugu mjumbe, Huwezi jibu hoja pasi na ushahidi usio na shakaHii hoja ina nguvu sana Mh Mwenyekiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana ndugu mjumbe, Huwezi jibu hoja pasi na ushahidi usio na shakaHii hoja ina nguvu sana Mh Mwenyekiti
jamaa kalala kitambo,sasa hivi yupo anaota ameteuliwa kuwa DCHii hoja ina nguvu sana Mh Mwenyekiti
hahahahahaha JF banajamaa kalala kitambo,sasa hivi yupo anaota ameteuliwa kuwa DC
Tupia japo kapicha mchwara mkuuTanzania bado sana.
Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!
Nini hii?
Hebu pichaTanzania bado sana.
Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!
Nini hii?
Tunaita optimum ignorance.Kuna vitu vingine hata ukivijua sidhani kama vinafaida
Hii habar bila kapicha hainogi, tupia kapicha mkuuTanzania bado sana.
Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!
Nini hii?
picha tafadhaliTanzania bado sana.
Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!
Nini hii?
Tanzania bado sana.