Kwanini kwenye sherehe za harusi na send off wanawake hupenda kuacha vifua wazi?

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,050
Points
2,000
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,050 2,000
Tanzania bado sana.

Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa mtu, si mjane, si mdada mhangaikaji!

Nini hii?
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
30,160
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
30,160 2,000
Hizo zote ni kwenye harakati za kutu- impress sisi wanaume...


Cc: mahondaw
 
N

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Messages
607
Points
1,000
N

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2014
607 1,000
Ukiacha huyo mchumba wako mnaedanganyana , couple gani nyingine unaijua Hawataoana?
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,239
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,239 2,000
Ni ukosefu wa maadili mema
 

Forum statistics

Threads 1,326,734
Members 509,585
Posts 32,232,910
Top