GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,874
Muda si mrefu tu nimetoka Kupanda Gari ya Mwendo Kasi na Mzungu Mmoja hivi na wakati Safari ikiwa inaendelea huku muda wote akiwa anajisomea Kitabu chake ( Novel ) katika hali yake ya Utulivu na Nidhamu kabisa ' akajamba ' na alipoona nimejua ni Yeye akaniangalia na kuniambia kwa Kiingereza ' are you bothered by this? ' kwakuwa ' Ushuzi ' wenyewe ulikuwa na harufu ' Rafiki ' Kimazingira ( yaani haunuki kivile ) nami nikamjibu ' no problem ' na kila Mtu akaendelea na Utaratibu wake.
Wiki kama tatu nyuma nilipanda DalaDala la Tegeta - Kivukoni nakumbuka Abiria Mwenzetu Mmoja ( hakuwa GENTAMYCINE ) ' alijamba ' ila baada ya Abiria wote Kufanya Msako wao wa ' Kimya Kimya ' wa Kunusa na Kuihisi ' Ushuzi ' ule ulikuwa unatokea wapi na Kumgundua ' Mlengwa ' halisi wa ' Ujambaji ' ule Jamaa aliandamwa kwa Kusemwa, Kushutumiwa na hata Kutukanwa hadi akalazimika ashuke Kituo ambacho hakukilenga Kushukia hapo.
Je, kwanini kwa Wazungu Kujamba Kwao ni Jambo la kawaida sana lisilohitaji Mjadala mrefu, ila Kwetu Sisi Waafrika utasemwa hadi Ukome hasa?