Kwanini kusiwe na tozo kwa magari yanayopita Mikumi?

Na siku zote mashetani wanafikiri ushetani wao na kutaka watu wote waishi kama mashetani
lengo hapa ni kuongeza wigo wa mapato; kama hili ni viable ; lifanyike tu. sio kutegemea vyanzo vile vile kila Mara. mfano; vinywaji, mafuta,madini, etc.
 
Lengo lako ni zuri. Lakini nature ya ile barabara sio utalii au kuona wanyama bali ni Kumfikisha mtu Moro au Iringa na serikali ikaipitisha barabara hapo.
Kumlazimisha mtu kulipia kitu ambacho hakihitaji ni unyanganyi.
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?

mbona ndogo sana hiyo? unaonaje ikawa kuanzia 50,000 kwa gari ndogo na 100k kwa gari kubwa au vipi?
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
Hifadhi ya Mikumi iliikuta barabara kuu ya Dar hadi Mbeya na iko kisheria. Suluhisho ni kuchepusha barabara kuu ikaungane na barabara ya Kutoka Kilosa kupita Mikumi hadi Ifakara. Kuichepusha barabara hii kutakuwa na faida zifuatazo: 1. Kupungua kwa kiasi kikubwa kugongwa na kufa kwa wanyama ndani ya hifadhi 2. Kuongezeka kwa idadi ya watalii 3. Kuongezeka kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi itakapopita barabara itakayochepushwa 4. Kuimarisha uhifadhi na usimamizi wa Hifadhi ya Mikumi
 
mkuu nikushukuru kwa mchango wako.
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
Hizi ni pumba Umeandika hapa! NANI kakutuma?
 
Hapo palisha jengwa vibanda na kulikuwa na mpango wa kulipia na kuchunguza magari yanayo katiza ndani ya mbuga, lakini uliyeyuka, na chaajabu sana trafiki wanakaa humo ndani kwenye 50 kwaajili ya kukamata magari yanayozidisha speed.Naunga mkono hoja
 
inashangaza sana ; watu mnalazimisha Serikali ifanye mambo bila kutaka kuwa sehemu ya utekelezaji kwa kuchangia kupitia kodi.
Hivi wewe stroke (Hemorrhagic or Ischemic?) unamiliki gari? Unajua mwenye gari analipa tozo ngapi Serikalini kuanzia kuliagiza na hata kulioperate?
 
watu wanapita pale kwakuwa i;e ndo njia pakee eneo lile hakuna anyepita pale ili kuona wanyama so kuwalipisha watu kilazima c fair
Mbona ngorongoro watu wanalipia na ni lazima kwa kila kichwa haipungui elfu 2 na unatakiwa kulipia bank sio cash
 
mkuu kama umewahi pita mikumi utakuwa unafahamu kwamba wanaopita pale kwe safari zao na hakuna anayelipa nauli yake ili akipita mikumi aangalie wanyama, sasa utamlipishaje tozo ya kuona wanyama mtu km huyo?
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
Tunaopita na Pikipiki tulipe kiasi gani?
 
Hifadhi ya Mikumi iliikuta barabara kuu ya Dar hadi Mbeya na iko kisheria. Suluhisho ni kuchepusha barabara kuu ikaungane na barabara ya Kutoka Kilosa kupita Mikumi hadi Ifakara. Kuichepusha barabara hii kutakuwa na faida zifuatazo: 1. Kupungua kwa kiasi kikubwa kugongwa na kufa kwa wanyama ndani ya hifadhi 2. Kuongezeka kwa idadi ya watalii 3. Kuongezeka kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi itakapopita barabara itakayochepushwa 4. Kuimarisha uhifadhi na usimamizi wa Hifadhi ya Mikumi
Kwa kuongezea, ile barabara inatakiwa ianzie Mikumi mjini au njia panda ya kwenda Kilombero, Iringa na Kilosa, sasa basi inaanzia Mikumi mjini inaelekea Kilosa inaenda kutokea Dumila njia panda ya Dodoma ,Morogoro Turiani na Kilosa yenyewe, hapo ndipo inakutana na barabara ya Morogoro inayokwenda Dodoma kazi imeisha.
 
Back
Top Bottom