Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

mkuu hii
Wakuu, nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.

Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakini hawajaolewa na wana watoto hili jambo limechangiwa na nini hasa??[/QUOT
mkuu point nzuri sana
sio tu single mother hata sema single PARENTS
TATIZO ni kurahisisha mambo nakukosa hofu ya mungu,jeuri ya pesa/uwezo na kuto tazama madhara ya baadae.kuendekeza tamaa,malezi mabaya,washauri wasiofaa,kukosa uvumilivu,nakuingia katika mahusiano sababu ya msukumo wa mambo mengi(stress,mafanikio,muonekano,kusikiliza maneno ya watu,nakukosa msimamo pia wazaza au walezi au jamii siku izi they dont give a damn kuhusu utaratibu wa ndoa mtoto ana mimba peleka kwa alie mpa mara mzazi ana mwambia mwanae huna hata mtoto wa kusingiziwa umri huoo what do you expect mimi nna 34 hadi leo sjazaa nimeona bora nibaki hivi hivi .
nna mengi ila tuishie hapa
 
Ila kwa wale waliokuwa single mother, baada ya kutembea na wanaume za watu mimi siwaonei huruma, waache wayapate na dada zangu siku hizi wakimuona mume wa mtu watafanya juu chini mpaka wampate, hawana hata uoga.
 
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
Sio kila Single mama

Maisha yako ya uzeeni yatakuwa na majuto sana
Hao ni mfano wa baba yake Nasibu wakuja kusumbua watoto baadae "Mimi baba yako nimefanana na wew kucha hadi nywele"
 
Ila kwa wale waliokuwa single mother, baada ya kutembea na wanaume za watu mimi siwaonei huruma, waache wayapate na dada zangu siku hizi wakimuona mume wa mtu watafanya juu chini mpaka wampate, hawana hata uoga.
Ungeanza kuwashauri kwanza wanaume baadhi yao watulize miti yao kwenye suluali zao wanajijua wapo kwenye Ndoa mshepuko wa nini mnatupa tabu mtaani kwa mikojo yenu chokolaa kibao.
 
Wanaume wengi wa miaka hii tumekuwa
Wavivu
Wazembe
Wambea
Wapuuzi et al

We got change to fix this fuckn mess fellaz.
 
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
Na siku hizi Kuna njia kibao za kuzuia mimba
 
Wengi huomba wazaliwe watoto then Wana sepa ka si ujinga nini. Wanawake wenzangu kabla ya kumzalia mwanaume chunguza kwanza ukoo wao na family background ukijua kwao wamezaliwa hovyo ka kuku usijaribu kumzalia maana hawaji heshimu
Hao ni wale wasiojitambua. Jambo la muhimu ni kuwa makini na mwanaume unayelala nae kabla ya kuanza kushughulika na aftermath.
 
Leo nimejua status za baadhibya watu humu baada ya kuona majadiliano ktk huu uzi...tuendelee kuijaza dunia jamani
 
Ungeanza kuwashauri kwanza wanaume baadhi yao watulize miti yao kwenye suluali zao wanajijua wapo kwenye Ndoa mshepuko wa nini mnatupa tabu mtaani kwa mikojo yenu chokolaa kibao.
Kwani ww huwezi kuchukua hatua hiyo ya kumkatalia? Kwa hiyo kila mume wa mtu anaye kutongoza una mkubali na kumtanulia miguu? Alafu baadaye unapewa mimba unasema hakujali, lkn what if kama wewe ungeharibu ndoa ya huyo mwanaume, huoni utakuwa umathiri malezi ya watoto wake, alafu kesho una lalamika hakujali ww na mtoto, wako wakati ww mwenyewe ulitaka kufanya hicho hicho cha kumtenganisha na watoto wake na kumfanya mke wake nae angukie katika kundi hili la single mother.

Hivyo vichwa vyenu vitumieni vizuri, heshimuni ndoa na familia za wanawake wenzenu, sio mnapewa mimba mnaanza kulialia.
 
Back
Top Bottom