DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Wasamehe tu mama watoto. Si kila mmojawetu anajitambua na kujielewa.Na wangetuheshimu. Wanadhani kulea na bado unasimangwa ni jambo rahisi eeeh
Wasamehe tu mama watoto. Si kila mmojawetu anajitambua na kujielewa.Na wangetuheshimu. Wanadhani kulea na bado unasimangwa ni jambo rahisi eeeh
Sawa sawaKwa akili yao wana dhani kila Single Mothers alizaa kwa tamaa ya fedha wengine wana Pata wa toto kwa ajili ya kutimizaa furaha Kuna rahaa bwana kuitwa mama fulani haijalishi kwenye Ndoa au nje.
Wakuu, nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.
Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakini hawajaolewa na wana watoto hili jambo limechangiwa na nini hasa??[/QUOT
mkuu point nzuri sana
sio tu single mother hata sema single PARENTS
TATIZO ni kurahisisha mambo nakukosa hofu ya mungu,jeuri ya pesa/uwezo na kuto tazama madhara ya baadae.kuendekeza tamaa,malezi mabaya,washauri wasiofaa,kukosa uvumilivu,nakuingia katika mahusiano sababu ya msukumo wa mambo mengi(stress,mafanikio,muonekano,kusikiliza maneno ya watu,nakukosa msimamo pia wazaza au walezi au jamii siku izi they dont give a damn kuhusu utaratibu wa ndoa mtoto ana mimba peleka kwa alie mpa mara mzazi ana mwambia mwanae huna hata mtoto wa kusingiziwa umri huoo what do you expect mimi nna 34 hadi leo sjazaa nimeona bora nibaki hivi hivi .
nna mengi ila tuishie hapa
Ni kweli kuwa mzazi kuna raha. Lakini kutimiza majukumu ya mzazi kuna raha zaidi.Hakuna raha kama kuitwa mama. Hakuna raha kama kumuona mtoto wako. Wasiojua tunawachek tunasema hiiiii
Maisha yako ya uzeeni yatakuwa na majuto sanaDawa n kuvitia mimb na kusepa tatizo vinapenda hela Sana so we hit it and running
AiseeehSawa bby.
Sio kila Single mamaWhatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
Hao ni mfano wa baba yake Nasibu wakuja kusumbua watoto baadae "Mimi baba yako nimefanana na wew kucha hadi nywele"Maisha yako ya uzeeni yatakuwa na majuto sana
Ungeanza kuwashauri kwanza wanaume baadhi yao watulize miti yao kwenye suluali zao wanajijua wapo kwenye Ndoa mshepuko wa nini mnatupa tabu mtaani kwa mikojo yenu chokolaa kibao.Ila kwa wale waliokuwa single mother, baada ya kutembea na wanaume za watu mimi siwaonei huruma, waache wayapate na dada zangu siku hizi wakimuona mume wa mtu watafanya juu chini mpaka wampate, hawana hata uoga.
Na siku hizi Kuna njia kibao za kuzuia mimbaWhatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
Wanaume wa hovyo hovyo ambao nao pia wanazaa na wanawake wa hovyo hovyo, ndege wanaofanana huruka pamojaHili ndilo jibu sahihi .....
Hao ni wale wasiojitambua. Jambo la muhimu ni kuwa makini na mwanaume unayelala nae kabla ya kuanza kushughulika na aftermath.Wengi huomba wazaliwe watoto then Wana sepa ka si ujinga nini. Wanawake wenzangu kabla ya kumzalia mwanaume chunguza kwanza ukoo wao na family background ukijua kwao wamezaliwa hovyo ka kuku usijaribu kumzalia maana hawaji heshimu
Ndo dawa yao na watanyoka tuDawa n kuvitia mimb na kusepa tatizo vinapenda hela Sana so we hit it and running
Umri wangu haihusiani kabisa na mada tunayojadiliUna umri gani mkuu kama hautojali?
Hao ni wale wasiojitambua. Jambo la muhimu ni kuwa makini na mwanaume unayelala nae kabla ya kuanza kushughulika na aftermath.
Kwani ww huwezi kuchukua hatua hiyo ya kumkatalia? Kwa hiyo kila mume wa mtu anaye kutongoza una mkubali na kumtanulia miguu? Alafu baadaye unapewa mimba unasema hakujali, lkn what if kama wewe ungeharibu ndoa ya huyo mwanaume, huoni utakuwa umathiri malezi ya watoto wake, alafu kesho una lalamika hakujali ww na mtoto, wako wakati ww mwenyewe ulitaka kufanya hicho hicho cha kumtenganisha na watoto wake na kumfanya mke wake nae angukie katika kundi hili la single mother.Ungeanza kuwashauri kwanza wanaume baadhi yao watulize miti yao kwenye suluali zao wanajijua wapo kwenye Ndoa mshepuko wa nini mnatupa tabu mtaani kwa mikojo yenu chokolaa kibao.