Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Wakuu, nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.

Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakini hawajaolewa na wana watoto hili jambo limechangiwa na nini hasa??
 
Cowardly men who only seek to test whether they are impotent or not. Once they know they can make a woman pregnant basi they go on a baby making spree. Not once providing for any of their kids.

And the women are too strong to just take the beating lying down. Therefore, there is an increase of single mothers but they won't say there is a rise of successful women too, and they happen to be single.

The kids you abandoned happened to be the source of strength for them. The wind that helped them soar in the sky despite the rough winds.

Stay strong single ladies. You are queens, never let your crowns tip over. Adjust them and never lose focus.
 
remind them to cross their legs before the second baby arrives...
 
My friend you had spoken truly for some extent, surely there are various reasons for this matter. Just think on their behaviors, nowadays it like a fashion for most them to have abusive words even before marriage, for this what do you expect?, I have number of examples on this. Also remember that a good wife/spouse is the one who is humble,just,listen to her partner and can integrate with both sides of the couples, are they have this feature? for sure this may be another problem that can facilitate the former. To cure or reduce this I advice them to learn and change. And for men we need also to change because kids are just gift from God, we need to love them regardless of our differences in our relationships or marriage.
 
Wakuu, Nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.

Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake.. Ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakin hawajaolewa na wana watoto.. Hili jambo limechangiwa na nini hasa??
Wengi wao walitegesha mimba ili waolewe bila ya kukubalia na wanaume wao.
Sasa %kubwa ya wanaume ni hit and run. Lazima utalea mwenyewe mwanao na ukiangalia usawa huu wa jiwe..hali inazidi kuwa mbaya!
 
Makosa ya kupata watoto bila mipango na uwezo wa kiuchumi kwa zama hizi ni hatari kwa mustakabali wa watoto,wazazi na jamii kwa ujumla wake.Ndugu zangu,hasa vijana mjipange na kufanya tafakari ili watoto wa "mitaani", ombaomba na hao " single-mothers watoweke au kupungua.
 
mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
 
Back
Top Bottom