Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,689
- 8,925
Elewa kwanza hio Ayawakiwa rangi moja hawajuani?
sio unakurupuka tu ili mrad u koment
Elewa kwanza hio Ayawakiwa rangi moja hawajuani?
basi elezea wewe sheih...maana mnaonaga koran ni kama kitab cha rocket science vileElewa kwanza hio Aya
sio unakurupuka tu ili mrad u koment
Hata nyani jamii ya Wazungu wapo, MUNGU alijua tu wabaguzi Kama ninyi mtatumia kigezo hiki.Waafrika ni ukoo mmoja na nyani
"Enyi watu! kwa hakika Tume-
waumbeni katika kiume na kike, na
Tumewafanyeni mataifa na makabila
ili mjuane; hakika aheshimiwaye sana
miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi
Mungu ni yule amchaye zaidi katika
ninyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni
Mjuzi, Mwenye habari."
Qur'an surat Al-Hujuraat
'Tangu mwazo huyu Neno alikuwepo, na huyu Neno alitoka kwa Neno'
Mungu akasema ' haya na tumuumbe binadamu kwa mfano wetu' Jiulize Mungu alikuwa anaongea na nani?
Soma maandiko vyema (Biblia kitabu cha mwanzo) tena kwa msaada wa Roho Mtakatifu utaelewa vyema haya.
tusaidiane kufahamishanauanataka kusema gharika liliua dunia nzima?