Kwanini kumbukizi ni Hayati Sokoine, Nyerere na Karume tu?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,495
2,043
Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki.

Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually?

Je, ni Sokoine, Nerere na Karume pekee wenye hivyo vigezo?

Na iwapo viongozi wengi watakidhi hivyo vigezo si tutakuwa na kumbukizi nyingi sana?

Ni kwanini tusiwajumuishe kwenye ile siku ya mashujaa?
 
Back
Top Bottom